Mtu aliye na njia hawezi kukosea njia!

Jinsi Gani unaweza kutembea na Mungu na kufanya tofauti?

Tunamuhitaji Roho Mtakatifu katika kila tunachokifanya,

Kanisa la Mungu inabidi lijazwe na Roho Mtakatifu.

Mtu aliye na njia, hawezi kukosea njia, njia ni Yesu peke yake!!

Askofu Eugene Murisa, Mwanza

Advertisements

3 thoughts on “Mtu aliye na njia hawezi kukosea njia!

  1. AMINA mtumishi.Hiyo ni kweli kabisa.Ndio maana hata MUSA alimwambia MUNGU kwamba wewe usipokwenda nasi,Sisi hatutakwenda.Anayejua njia ya kwenda mbinguni ni YESU pekee .Ametupa Roho wake mtakatifu ili atusaidie kutufikisha huko mbinguni.Tumruhusu basi huyo Roho Atuongoze.Tusimfundishe Kazi ,yeye ndie anayeju.TUMPE NAFASI NDANI YA MIOYO YETU

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s