Reuben Kigame Kufanya Huduma Ibada ya Kiswahili, Columbus, OH

Reuben Kigame & Sifa Voices Walianza safari yao kutoka Kenya tarehe 19 April na kufika Marekani wamefanya huduma sehemu mbali mbali ambapo wametembelea kituo cha radio, wamefanya huduma majumbani, kuzungumza na vijana, wajane na makundi mbali mbali ya uimbaji. Wiki hii tarehe 27 May watakuwa kwenye Ibada ya Kiswahili, Columbus OH. Karibuni sana tupate kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli.

One thought on “Reuben Kigame Kufanya Huduma Ibada ya Kiswahili, Columbus, OH

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s