King’s Choir Kufanya Live recording, Morogoro

Ni tarehe 03 June 2012, Praise Team ya King’s kutoka mkoa wa Morogoro watafanya Live recording. Itakuwa ni Ibada ya kusifu na kuabudu kanisa la Canaan Calvary Assemblies of God, wakishirikiana na kwaya hiyo.

Tamasha hilo la uimbaji litarekodiwa kwa moja katika Audio na Video. Wakazi wote wa Morogoro na vitongoji vyake, Karibuni tumuabudu Mungu pamoja, tuone nguvu ya Mungu katika utendaji wakati tukimsifu na Kumuabudu yeye Aliye Hai.

Baadhi ya Wanakwaya kwenye picha

Tumsifu Mungu kwa wimbo huu ulioimbwa na King’s katika moja ya Ibada ya Jumapili, SIFA ZAKO ZIVUME

7 thoughts on “King’s Choir Kufanya Live recording, Morogoro

 1. Hallo David!!

  I just want to know,Are you David who was the Choir Master of Kings Choir !.

  Blessed!!

  Dodoma

 2. This is really very good thing.Ian really impressed by this.Surely this is spiritual idea.Kurekodi moja kwa moja kutoka madhabahuni kuna utukufu wake.Lile wingu litakalokuwepo siku hiyo lazima liambatane na kazi itakayokuwa imerekodiwa.

  Kuna utofauti mkubwa sana kwa recording inayofanywa studio na ile ya moja kwa moja wakati wa kuhudumu unapozungumzia suala zima la uwepo wa Mungu.Na tofauti hii ni rahisi kuigundua ama kuithibitisha wakati ama baada ya kuisikia ama kuitazama record husika.

  Kwangu mimi hii ni sababu moja kubwa sana inayonifanya nisiwe muumini sana wa kusikiliza records nyingi zinazofanywa na wanamuziki wetu wa injili ama kwaya za hapa kwetu.Hii ni kwasababu huwa nakosa kile ninachokipenda (Gods Presence and Anointing)

  Unajua uwepo wa Mungu hauna berriers na ni muhimu sana kuzingatia mazingira wakati wakutayarisha record yako.Na kwasababu hiyo wenzetu wa ulaya na baadhi ya nchi nyingine hili walishaligundua zamani hivyo mara nyingi wamekuwa wakitumia mtindo huu wa kurekodi.

  Jambo la muhimu ninalotaka kusema na ambalo binafsi nalijuwa ni kwamba kuna umuhimu mkubwa na faida nyingi sana zinazopatikana kwakufanya recording ya moja kwa moja wakati unahudumu.

  Mbarikiwe!!

 3. Si tu wakazi wa Morogoro wanaokaribishwa bali hata maeneo mengine kama Dar,Arusha nk. Ni free of charge (Hakuna kiingilio)

 4. Kwanza mnavutia,halafu wimbo wenyewe ni ujumbe tosha,tunamrudishia Utukufu Bwana Yesu.

 5. Nimefurahi kumuona mama mchungaji kwenye kwaya, nawamis natamani ningehudhuria! i

 6. Mungu awabariki waimbaji wazuri, nimebarikiwa na wimbo huu. Ninatamani ningekuwa na kanda zenu za sifa. Macrice Jr, Norway

 7. Nimebarikiwa na wimbo! Tunaomba nyimbo nyingine mtuwekee youtube. Mungu awabariki

  Karungi, South Africa

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s