Makanisa yavamiwa, watu 17 wamekufa nchini Kenya

NAIROBI, Jumapili June, 1 – Inasemekana magaidi wa kundi Al Shabab wamevamia makanisa mawili nchini Kenya na kuuwa watu 17, Jumapili ya tarehe 1 June.

Zaidi watu 45 majeruhiwa katika mashambulizi hayo yayotokea Garissa, sehemu yenye waislamu wengi pia kuna wasomali wengi.

Watu saba walivamia ndani ya kanisa la Roman Catholic na African Inland Church na kupiga risasi kanisani, polisi wawili wamepoteza maisha yao katika mashambulizi hayo.

–Standard Media Kenya

Advertisements

One thought on “Makanisa yavamiwa, watu 17 wamekufa nchini Kenya

  1. Hab 3.2 Ee Bwana, nimesikia habari zako, nami naogopa, Ee Bwana, fufua kazi yako katikati ya miaka, katikati ya miaka tangaza habari yake. KATIKA GHADHABU KUMBUKA REHEMA. Ndugu zangu tunahitaji kuomba REHEMA kwa Mungu, aturehemu, kama mtu anadhubutu kumpiga mtu risasi akiwa kanisani, kweli siku ni zenyewe, hapo ndipo mmoja akasema MTAKAPOLIONA CHUKIZO LA UHARIBIFU LIMESIMAMA PATAKATIFU, ASOMAYE NA AFAHAMU. Hili wapendwa ni chukizo la uharibifu limesimama, tuombe ili Mungu atunusuru. Amina.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s