BWANA na akupe haja zako zote

BWANA na akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako. Na akutumie msaada kutoka patakatifu na akupatie msaada kutoka Sayuni. Na azikumbuke dhabihu zako zote na azikubali sadaka zako za kuteketezwa. Na akujalie haja ya moyo wako na aifanikishe mipango yako yote. Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu
wetu. BWANA na akupe haja zako zote.

Sasa nafahamu kuwa BWANA humwokoa mpakwa mafuta wake, humjibu kutoka mbingu yake takatifu kwa nguvu za wokovu wa mkono wake wa kuume. Wengine wanatumaini magari ya vita na wengine farasi, bali sisi tutalitumainia jina la BWANA, Mungu wetu. Wao wameshushwa chini na kuanguka, bali sisi tunainuka na kusimama imara. Zab 20:1-8

–Pastor Abel Orgenes

5 thoughts on “BWANA na akupe haja zako zote

  1. Amen mtumishi, asante kwa ujumbe huu leo nakutana nao mara ya pili. Mungu azidi kukubariki kwa huduma.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s