Mwl Mwakasege kufanya semina Uingereza, August.

Mwl Christopher Mwakasege mnamo tarehe 17-19 August 2012 anatarajia kuwa mnenaji katika Summer Conference 2012 itakayoyanyika nchini UINGEREZA jimbo la MILTON KEYNES,Kongamano hili limeandaliwa na umoja wa watanzania wakristo waishio katika bara la Ulaya(CITE).

Kwa mujibu wa mmoja wa viongozi wa CITE Mch Emmanuel Chatawe, CITE SUMMER CONFERENCE 2012 itafanyika katika ukumbi wa

Oakgrove Leisure centre Brickhill Street Middleton Milton Keynes MK10 9JQ
17/08/2012 Time 2:00pm-9pm
18/08/2012 Time 10am-9pm
19/08/2012 Time 11am-7am

Kwa mawasiliano zaidi

Rev. Chatawe 07944632826 ,
Pas. Kimani 07522050673,
Sis Jane 07522302935 au
Sis. Flora 07916160641

Chakula cha mchana kitatolewa Jumamosi na Jumapili kwa wote watakaohitaji kwa Paund 3(£3.00).Wote mnakaribishwa

Advertisements

2 thoughts on “Mwl Mwakasege kufanya semina Uingereza, August.

  1. Mungu akutangulie ktk safari hiyo mtumishi wa Mungu,tunasafiri nawe kwa njia ya maombi ni maombi yetu kwa Mungu kusudi lake likasimame ktk semina hiyo.Mungu azidi kukufungulia milango zaidi mbele yako ili ukatangaze na kulihubiri jina lake duniani pote ktk siku hizi za mwisho.AMEN.

  2. ubarikiwe mtumishi endelea kutoa semina na kukusanya kondoo waliopotea. kisha warudi kundini

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s