Ukumbi maarufu Mamba Disco Kenya, kuwa ukumbi wa Injili

Mombasa, Kenya. Wamepata ukumbi mkubwa kwa ajili ya matamasha ya Injili, ukumbi huo maarufu kama MAMBA DISCO ilikuwa ni club ya waimbaji wasio wa kikristo, sasa unafanyiwa matengenezo na itakuwa zinapigwa nyimbo za Injili tu, mmiliki wa ukumbi huo  Hezron Awiti Bolo amesema lengo lake ni kuitangaza Injili kupitia ukumbi wake na kuwainua waimbaji wa nyimbo za Injili wajulikane.

Ukumbi utazinduliwa rasmi March 2013. Inatazamiwa kuzinduliwa na waimbaji na wahubiri wa kimataifa

Itakuwaje kama hapa Tz tukisikia club bilicanas na nyinginezo zimevunjwa kuwa kanisa au imebadilishwa kuwa kumbi za nyimbo za Injili?

Bado swali linakuja Je waimbaji wa Injili haitakiwi kukubali mialiko kwenye kumbi zisizo za Kikristo? Kumbi za Kikristo ni kumbi gani?

Advertisements

2 thoughts on “Ukumbi maarufu Mamba Disco Kenya, kuwa ukumbi wa Injili

  1. nijambo jema mana wana mtukuza mungu acha injili ihubiliwe mahal popote ameni songeni mbele.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s