John Lisu kufanya huduma Ulaya

John Lisu wakati wa huduma

Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu yuko Norway kwa sasa, anaendelea na huduma ambapo mpaka sasa amefanya Oslo, Stavanger, Kopervik, baada ya Norway anatazamia kwenda Belgium na Denmark na sehemu nyingine atakazoalikwa.

Anategemea kurudi nyumbani mwezi August ambapo atafanya live recording na kumalizia album yake ya pili, zimebaki nyimbo chache iwe tayari.

Wakazi wa sehemu hizo mnaweza kuwasiliana na John Lisu kwa namba 474 095 3969

Sikiliza wimbo Mpya wa John Lisu – Yu Hai Jehova

7 thoughts on “John Lisu kufanya huduma Ulaya

  1. B BLESSED BRO JOHN, 4 SURE THERE ARE FEW GOSPEL SINGERS OF UR CHARACTER,KEEP T UP & MAY GOD RAISE U EVEN HIGHER.

  2. Brother John..GOD BLESS YOU..You are doing awesome.Keep on humbling yourself and the LORD will lift you even higher than this

  3. Kazi njema kaka John.
    We are blessed by your wonderful work.
    May God use you more and more for His glory that your joy may be fulfilled.

  4. Tutakukumbuka baba katika maombi, Mungu akutangulie, yeye aliyekufungulia milango hiyo, uendelee kumuinua yeye anayestahili, uendelee kushuka, na ataendelea kukuinua, sifa na utukufu zimrudie yeye. Amina.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s