Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera atembelea Ikulu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo Julai 19, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Picha na IKULU

Advertisements

3 thoughts on “Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera atembelea Ikulu

  1. “Kwanza kabisa kabla ya yote napenda dua kwa viongozi wa nchi…tuishi kwa amani”…haya ni maneno ya Mtume Paulo. Kanisa lina jukumu la kuwaombea wakuu wa nchi. Kwahiyo kama mtu unamuombea ni vizuri pia kumtembelea.Hili ni zuri tena linakubalika

  2. Ni baraka kwa viongozi wetu wa dini kumtembelea kiongozi wa nchi yetu. Bila shaka Baba Askofu Buberwa alimtembelea Mkuu wa nchi yetu kwa lengo maalumu pia kunyesha ukaribu wake kwake. Na ni baraka kuona ya kwamba Rais wetu yupo tayari kukaribisha viongozi wa dini mbalimbali kuwa na mazungumzo nao ili kupata mawaidha na ushauri. Kama ninavyomfahamu Baba Askofu Buberwa nina hakika ya kwamba alikuwa na mazungumzo kwa ajili ya nchi yetu. Pia hata salamu tu nazo ni baraka kuona ya kwamba mtu anaweza kufika ikulu kumsalimu Mkuu wa nchi kwa amani. Ninamshukuru Rais wetu ambaye yupo tayari kukaribisha viongozi na watu mbalimbali kumtembelea kwa manufaa ya amani ya nchi yetu. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

  3. Bwana Yesu asifiwe!!!!
    Tunashukuru kwa Askofuwa KKT Kagera kwenda kumuona Rais. Hamjatueleza alikwenda kwa ajili gani ? ametumwa na Mungu kwenda kuona kwa ajili ya nchi hii au kwa salamu tu. Ingekuwa vizuri maana hao ndio mabalozi wetu kwa sasa au ndi makuhani wetu tunahitaji kujua isiwe mradi ili mradi amekwenda ni vizuri kushikiriswa wapendwa.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s