Juanita Bynum, Akiri kuwa msagaji, kutumia madawa hapo zamani

Juanita Bynum is interviewed at Atlanta’s V103 (July 13, 2012)

Mwimbaji na mhubiri maarufu kwenye Televisheni Juanita Bynum amekiri amewahi kuwa na mahusiano ya  kimapenzi na wanawake (msagaji).

Bynum, aliyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha redio cha “Frank & Wanda in the Morning” Atlanta V-103, Atlanta, aliwaambia wasikilizaji kwamba, “Nimepitia hayo na kuyafanya yote. Nimetumia madawa ya kulevya, nimekuwa na wanaume, nimekuwa na wanawake. Yote hayo”

Baada ya ushuhuda wake kusambaa kwenye mitandao na wengine kusema asingeshuhudia mambo ya namna hiyo alijibu kwenye mtandao wake wa twitter kama ifuatavyo,

“If my life’s testimony offends you then good. Now you can go serve Christ for real because he will never disappoint you ever!!! Testimony is what you get after something has been put to death,” says Bynum. “Maybe that’s why we don’t see a lot of them. You got to kill it to tell it. A real Christian is not ashamed of the gospel nor what the Gospel has done and will do!! Remember that!!!”

Kujua zaidi click here.

—Praise Houston radio

Advertisements

One thought on “Juanita Bynum, Akiri kuwa msagaji, kutumia madawa hapo zamani

  1. Yes, Mungu anasafisha damu hata kama ni nyekundu kama damu inakuwa nyeupe kama theluji kama inavyoshuhudiwa katika kitabu cha Isaya 1:18. Kuna watu wengi sana nimekuatana nao, wengine pia wanajiita wameokoka, amabao wanakiri kuwa ukishaonja ladha ya usagaji au ushoga haitakutoka maishani kamwehata ukiokoka. Ni imani potofu na shetani anazidi kuipandikiza na kuwaaminisha hata wapendwa ili tusiwe na imani ina hao waliopatwa na pepo la ushoga na kuokoka. Bwana anasamehe na kubadili kila aina ya uchafu hakuna chaguo. Mungu ambariki sana mtumishi Juanita, na azidi kumtumia katika kuirekebisha roho hii potofu, hasa inapokuwa inatoka kwa wanaoamini.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s