Tangazo La Kazi Ya Muda Katika Mradi Wa Sensa Ya Watu Na Makazi Ya Mwaka 2012.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inakamilisha maandalizi ya kufanya Sensa ya Watu na Makazi ambayo itafanyika tarehe 26 Agosti, 2012. Ili kufanikisha Sensa hii, Serikali inatangaza nafasi za kazi za muda za MAKARANI NA MAKARANI WAANDAMIZI WA SENSA kwa Watanzania wenye nia na sifa zinazostahili kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. Kazi hii itaanza tarehe 06 Agosti, 2012 na kumalizika tarehe 14 Septemba 2012.

–nbs.go.tz

Advertisements

One thought on “Tangazo La Kazi Ya Muda Katika Mradi Wa Sensa Ya Watu Na Makazi Ya Mwaka 2012.

  1. je? raia walioko nje ya nchi nao watahesabiwa au hawajulikani? kama watahesabiwa , ni vipi basi wajumuike kuhesabiwa? maana mimi ni raia wa nchi ya Tanzania na mwenye passport ya Tanzania ningependa kuhesabiwa pia.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s