Arusha wafanya TOBA YA TAIFA – Matendo 3:19

Kituo cha Redio cha Safina cha jijini Arusha, Jumamosi ya tarehe 28 July 2012, wamefanya maombolezo ya kuombea Taifa ambapo waliyapa jina TOBA YA TAIFA “Tubuni Dhambi zenu zifutwe” Maneno kutoka Matendo 3:19.

Wananchi waliofika kwenye mkutano huo, walivaa magunia na viroba sawasawa na Neno la Mungu linavyosema “Kwa sababu hiyo jifungeni nguo za magunia; ombolezeni na kulia kwa uchungu; kwa maana hasira kali ya Bwana haikugeuka na kutuacha”

Watangazaji wakitangaza yanayojiri mkutanoni hapo

Kwa pamoja wakifanya Toba

Wahudhuriaji

Bibi na Biblia yake

Hongera Safina Radio. Inapendeza kuitumia Redio yenu kwa Utukufu wa Mungu.

Advertisements

11 thoughts on “Arusha wafanya TOBA YA TAIFA – Matendo 3:19

 1. Haleluya hakka mungu ni mwema kiukweli neno lina fariji miyoni mwetu ningeomba basi kwa kuwa neno linatjenga ss wawaminiyo mfanye mfanye mpango tupate habari kwa Tbc popote nchini kwani mmi npo unguja ili tupate ujumbe wa bwana.mungu awabariki mm npo unguja

 2. Kwa kweli kupitia Radio Safina watu wameponywa na sasa Taifa letu limeponywa.Tunashukuru Mungu aliyemwezesha Dr. Lema kufungua hio Radio. Mungu amwinue zaidi na zaidi na ampe maisha marefu YEYE NA WATUMISHI WOTE KABISA BILA KUMSAHAU MAMA H. LEMA AMEN

 3. Imani ya Mtu ndo itamponya!
  Wabarikiwe kwa kuwa katika imani yao kuna chembe ya Yesu Mwana wa Mungu (Jehovah) Baba wa yote!

 4. Mimi ninashaka sana kama wanajua wanachokifanya maana mambo yanayozuka kupitia mafundisho yao yanatia shaka,mfano watu wanafundishwa imani za kumwaga chumvi majumbani na kwenye biashara zao nk. pia wanawaambia waumini waje na FRUTO kwamba ndio mfano wa damu ya Yesu kwahiyo nina mashaka kama wanajua wanachokifanya.Wapendwa jina la Yesu pekee kwa kuliamini linajitosheleza,nimeona watu wengi wakifunguliwa kwakutumia jina la Yesu pekee,sasa hii habari yakutumia chumvi na fruto nk inanipa mashaka kama wanajua wanachofanya.

 5. HABARI HII NI NJEMA SANA NA MZURI MNO KUOMBA HATA MIKOA MINGINE PIA, NIMEGUSWA MNO NA HATUA YA KUVAA MAGUNIA NI KUJISHUSHA KWA NAMNA YA KIPEKEE.MUNGU AWABARIKI WALIOPOKEA NA KUTEKELEZA MAONO HAYA.

 6. Mnafanya vizuri sana mbele za MUNGU Safina Radio.Mungu awazidishie moyo huo huo wa utayari mbele zake sawasawa na neno lake.MUNGU AWABARIKI NYOTE KWA KAZI HIYO NJEMA

 7. Lololool hii ni habari njema sana
  Mungu awabariki wapendwa kweli tunahitaji toba kitaifa
  ni nadra kusikia mikutano ya hivi ila ya kubarikiwa ni mingi sana
  Mungu atusaidie

 8. Utukufu kwa Bwana Yesu aliyesikia kilio chetu na toba yet kwa ajili ya Taifa letu. Nilipendezwa na moyo wa Watanzania wote wakaawo karibu waliyoweza kuja uwanjani hata wale waliyokuw makazini wakiwa wamevaa magunia yao nakuomba toba, tulikuwa pamoja katika roho ya kutubu kwa ajili ya taifa na hakika Mungu amelisamehe taifa letu.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s