Esther Wahome avikwa taji Mrs Universe Kenya 2012

Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya Esther Wahome aliyepata umaarufu kutokana na wimbo wa “kuna dawa” Jumamosi ya tarehe 28 July 2012 alivikwa taji la Mrs. University kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli – Hilton, Nairobi

Shindano la Mrs Universe linawashirikisha wanawake walioolewa tayari pia si kwa ajili ya urembo wa nje tu bali pia kuyaangaza maisha ya wanawake wenye heshima duniani pote.

Wahome ni mama mwenye watoto watatu anatarajia kuiwakilisha Kenya tarehe 13 August  kwenye shindano la Mrs. Univers, litakalofanyika nchini Urusi. Mmpaka sasa Mrs Universe inawashiriki chini ya nchi 50

Pata nafasi kusikiliza nyimbo zake tatu!

Tunatarajia kupata mwakilishi wa Tanzania. Mpaka sasa hatuna taarifa!

Advertisements

One thought on “Esther Wahome avikwa taji Mrs Universe Kenya 2012

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s