Hongera Dr. Barnabas Mtokambali kwa kushinda tena uchaguzi TAG

Pichani Dr. Mtokambali akibubujikwa machozi baada ya kuchaguliwa

Dr. Barnabas amechaguliwa tena kuwa Askofu mkuu TAG. Ameshinda kwa asilimia 93% ya wachungaji wote nchi nzima. Pia Dr Magnus Mhiche amerudi tena kwenye nafasi yake ya Makamu Askofu Mkuu wa TAG. Na Katibu Mkuu ni Ron Swai.

Advertisements

14 thoughts on “Hongera Dr. Barnabas Mtokambali kwa kushinda tena uchaguzi TAG

  1. Mungu na democrasia!!!! Naomba mnisaidie wajoli, ni wapi ktk biblia, mfumo huu wa uchhaguzi ulitumika? Maana leo makanisa yetu yooooote ya kikristo yanafanya hivihii tu!!!! Yooooote!!! Hadi nashangaa. Naomba tujadili kwa vile hapa ni sehemu ya kueleweshana.

  2. GLORY TO GOD, HONGERA ASKOFU B.MTOKAMBALI, USIOGOPE MUNGU ATAKUSAIDIA BABA.

  3. kazi yako ni njema askofu, mungu analo kusudi na kanisa na wewe ndio chombo teule cha kuongoza kanisa.

  4. Hongera SAANA ASKOFU WANGU NA MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI NA KUKUONGEZEA MIAKA YA KUMTUMIKIA

  5. Jina la bwana libarikiwe, Hongera sana Barnabas lililopangwa na Mungu akunayeyote awezaye kupangua, Mungu bado anahitaji umtumikie katika nafasi uliyopo. ni jambo jema namshukuru mungu kwajili ya hilo.

  6. Mungu akubariki askofu, kwa kweli unaliangalia ipasavyo kundi Bwana alilokupa, umefanyika kuwa mfano katika waangalizi Bwana aliowaweka katika kanisa lake. Mungu akuinue sana katika kazi hii na ufanikiwe katika kila jambo katika utukufu wake Kristo, aliyekuita katika utumishi huu

  7. kwakweli dr mtokambali ni chombo anafaa sana,Mungu akubaliki sana baba

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s