Makanisa ya Columbus washirikiana kufanya Tamasha kubwa la Kimataifa!

Kanisa la All Nations Breakthrough lililo chini ya wachungaji wenyeji Donnis na Nnunu Nkone wakishirikiana na makanisa mengine ya Columbus, Ohio. Wameandaa Tamasha kubwa la kimataifa ambapo waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchi mbali mbali watawakilisha kwenye tamasha hilo lenye jina la International Gospel Music Festival.

Tamasha hilo litafanyika tarehe 1 na 2 mwezi wa tisa, 2012, Columbus, Ohio. Waimbaji watakaoimba ni pamoja na Upendo Nkone na Felis Mubibwa wote wakiwakilisha Tanzania.

Wengine watakaohudumu ni pamoja na Pastor Garry Grown, Pastor Daniel Mutambo, Prexy Sam-Ola, Michele Hakizimana na wengine wengi kutoka sehemu mbali mbali.

Karibuni nyote mshuhudie Utukufu wa Mungu ukishuka.

Advertisements

2 thoughts on “Makanisa ya Columbus washirikiana kufanya Tamasha kubwa la Kimataifa!

  1. If you can call us at +614 260 2636, we can discuss and find a way to haveyou become part of this. God bless you. Pastor Donis Nkone

  2. how can a band be among those who are going to perfom

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s