Msikilize Mwl Mgisa Mtebe Upendo FM 107.7 saa 3:00-4:00 usiku na WAPO Radio 98.0 FM saa 4:15-5:15

Mwalimu Mgisa Mtebe amefanyika baraka kwenye blog hii kwa mafundisho yake yanayokujenga kama Maana ya Wokovu na Jinsi ya Kuomba. Ameandika maoni haya kuwashukuru na kuwakaribisha kwenye website yake kwa mafundisho zaidi na kumsikia redioni. Mnakaribishwa

“Mimi ni Mwl. Mgisa Mtebe, nimetiwa moyo sana na comments zenu. Namshukuru Mungu kunipa neema ya kuwafikishia mafundisho haya. Ni matumaini yetu mtayafanyia kazi na maarifa ya mambo ya Mungu yataongezeka na kubadili maisha yenu yawe ya ushindi na mafanikio kwa utukufu wa Mungu. mnaweza kuendelea kupata mafundisho kama haya na kuya-download katika http://www.mgisamtebe.org Pia tunarusha vipindi Upendo FM 107.7 saa 3:00-4:00 usiku na WAPO Radio 98.0 FM saa 4:15-5:15 usiku. Nawatakia baraka za Mungu.”

Barikiwa Mwalimu!

Advertisements

2 thoughts on “Msikilize Mwl Mgisa Mtebe Upendo FM 107.7 saa 3:00-4:00 usiku na WAPO Radio 98.0 FM saa 4:15-5:15

  1. Asante mwl nilibarikiwa sana kwa mafundisho jinsi ya kuomba. Tutatembelea blog yako na pia kukusikiliza vipindi vyako. Mungu azidi kukupa nguvu na hekima kumtumikia.

  2. Asanteni sana wapendwa kwa message zenu nyingi za kumtukuza Mungu juu ya kazi yake inayoendelea through this blog. nimepokea feedback nyingi pia through http://www.mgisamtebe.org. thank you soo much people of God, for your prayers and support. Katika tangazo la vipindi vyetu via radio, tulisahau kuwaambia siku za vipindi hivyo. Ni kwamba Upendo FM 107.7 ni kila Jumanne (Tuesday) saa 3:00 – 4:00 usiku na WAPO Radio FM 98.0 ni kila Alhamisi (Thursday) kuanzia saa 4:30 – 5:30 usiku. Tuendelee kuombea na ku-support kazi hii kwa utukufu wa Mungu. Asanteni sana.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s