Mtoto aibwa kutoka tumboni kabla ya mama kujifungua

Ni siku ya Jumapili ya tarehe 12/08/2012, watu wapo katika ibada kanisani Kimara Lutheran –Dar es Salaam, Mchungaji wa kanisa hilo anaikaribisha familia moja ili itoe “ushuhuda ili kujengana katika Kristo”. Tukio hili lilitokea tarehe 2/08/2012.

Familia hii ya Mume na mke ni mpya tu, ilianza mwaka jana kwa njia holela (ndoa rasmi kifamilia lakini si kikanisa). Baada ya ndugu hawa kuungana walikaa kwa miezi kadhaa kablwa ya Mume kuhamishwa kikazi kwenda mikoa ya Kanda ya ziwa. Wakati baba huyu akiondoka ilibidi amuache mkewe mpenzi hapo jijini kwakuwa alikuwa ni mjamzito (mimba ya miezi mitatu).

Mama huyu alikaa vyema huku akihudhuria Kliniki kama alivyotakiwa kufanya kwa miezi yote 9 mpaka alipokaribia kujifungua.
Siku moja amejisikia uchungu, wakatoka na mama mkwe wake ili kuwahi hospitali alikokuwa anahudhuria kliniki (Marie Stopes-Mwenge Kijijini), wakiwa njiani uchungu ulimzidia hivyo wakaamua ghafla kuingia hospitali iliyoko karibu na maeneo hayo, hospitali hii ni ile iliyoko Kimara karibu na Stop Over na inamilikiwa na daktari mmoja ambaye ni bingwa wa tiba kwa akina mama (Gynecologist).

Baada ya kuingia kwa bahati nzuri walimkuta daktari huyo, wakamshukuru Mungu sana kwakuwa na uhakika wa kuweza kusaidiwa kwa utaalamu wa hali ya juu. Kwakuwa walibeba vyeti na viambatanisho vyao vyote walivyokuwa wakivitumia na kuandikiwa toka kule kliniki nyingine walimkabidhi daktari. Wakiwa kwenye mazungumzo, huku daktari akikagua taarifa nyeti toka vyeti hivyo, mama mjamzito alijisikia uchungu zaidi na ghafla aliliona “jitu” lililokuja na kuanza kumvuta mtoto kwa nguvu (si kwa njia yake anayotakiwa kutokea bali kwa kutokea usoni mwa tumbo).

Mama huyu aliyekuwa na uchungu mwingi alipaza sauti yake kwa nguvu, akiomba msaada kwa daktari na mama mkwe wake akisema “nisaidieni…ananinyang’anya mtoto wangu….”
Wakati huu daktari huyu mchagga na ambaye ni “mkristo” alianza kutoa maneno ya kukashifu na kudharau kama “…mnaniletea kichaa hapa…nani anamnyang’anya motto wakati hatumuoni?…tokeni zenu….”
Kwa bahati mbaya ndani ya muda mfupi, “lile jitu” lilifanikiwa kumchomoa mtoto toka tumboni mwa mama yake, likamuonesha mama huyo na kasha kutoweka nae kusikojulikana.

Mama huyu alibaki akilia sana kwa uchungu pamoja na mama mkwe wake…waliondoka na kurudi makwao huku tumbo la mama aliyekuwa mjamzito likiwa limerudi kama hajawahi kuwa na mimba. Baadae walikwenda tena katika hospitali ili kumpima mama huyu na kujua kama “bado mtoto yuko tumboni”, baada ya vipimo hawakuona kitu pia baada ya kupima njia ya kawaida ambayo motto angetokea kama alizaliwa hawakuona kama imewahi kutumika. Hii imewachanganya wana familia pamoja na madaktari.

Baada ya maelezo hayo mchungaji aliuliza “je Yule daktari anaabudu kanisa hili? Au yupo hapa? Nani anamjua, hawa madaktari wengine hata hawawezi kulitaja jina la Yesu!!? Wanamuona mtu anahangaika, anaomba msaada, ni mjamzito na ujauzito unaondoka mbele yao halafu wanasema eti kachanganyikiwa/ kichaa!!?”

Aliwaasa watu wawe na Yesu na wajifunze kumtumainia na kulitumia jina lake lenye mamlaka. Pia aliiasa familia iliyokumbwa na mkasa (mume na mke) kufanya taratibu za kikanisa ili ndoa yao ianze na Kristo ili iwe na ulinzi.

Je kwa hali kama hii ni wakristo wangapi wanaojua kinachoendelea katika ulimwengu wa roho na mamlaka waliyonayo? Je ni wangapi wanakubali kwamba majanga kama haya yanatokea katika uhalisia ama wanadhani ni hadithi ama kuchanganyikiwa kama daktari alivyosema?

Advertisements

11 thoughts on “Mtoto aibwa kutoka tumboni kabla ya mama kujifungua

 1. HALELUYA….,

  KWA TUKIO HILI NA MENGINE MENGI YAWASAIDIE WATU WAWEZE KUSIMAMA KWA MIGUU YAO,YAANI KWA IMANI BINAFSI SIO KUSUBIRI MWINGINE AMUOMBEE

  MIMI DP.LEONARD N. MAPUNDA
  MOROGORO

 2. Kwa kweli maandiko yanaeleza kuwa watumie wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Lakini pia biblia inataja hekima ya dunia au ya wanadamu ilivyodhaifu ukilinganisha na hekima ya Mungu.(Hosea 4:6 na 1Kor 1:18-21)
  Kutokana na mafundisho dhaifu watu wengi wameunganishwa na kutengeneza ndoa batili. Kwa hii mimi nashauri kitu mhimu watu wafanye uamuzi sahihi yaani waokoke then haya mengine yatafuata. Maana tumesikia mara nyingi kama mtu kazaa kumbe tofauti na binadamu, haya yote ni manyanyaso ya shetani kwa hivyo utatuzi sio hekima ya kidunia bali hekima ya Mungu katika Kristo.

 3. Kwanza nampapole kwa mkasa huo shetani kakunyemelea endelea kumuomba hakika utashinda achana na mambo ya dunia achana na waganga na kama ulisha wahi kwenda kwa mganga basi dio kabeba mwanao chakufanya sahau yaliyopita ugange yajayo mungu akuzidishie baraka amen.

 4. Wizi wa mtoto yule umefanyika ktk ulimwengu wa roho ,ndiyo maana daktari hakuona kitu ,laiti yule mama angelilitumia jina la YESU hakika yule mwizi asingefanikiwa kumchukua yule mtoto. Efeso sura ya 6.

 5. Ulimwengu wa roho ndiyo nguvu zetu,yaani wenyewe ndiyo remote sisi tv

  ukisema ndiyo ulimwengu wa mwili unaitika ndiyo,ukisema nenda kanisani unaenda kanisani,ukisema nenda disko unakwenda disko.

  ktk huo ulimwengu wa roho kuna wa MUNGU na shetani/Mlaaniwa sasa angalia umejiconnect na ulimwengu upi? wa MUNGU au Washetani

  eti unauliza nitajikonect nao vipi,kwa mawazo yako yanayozalisha matendo yako
  kama umepanda vya shetani utavuna vya sheatani,vikiwa vya MUNGU unavuna vya MUNGU

  Mungu awabariki

 6. This is more scientific than spritual. We need to respect science and faith at the same time

 7. That is true tunkuh! Wakati mwingine tunajaribu kueleza kwa jitihada zetu na utaalam wetu lakini kwa kweli maswala ya rohoni ni ya rohoni na yanahitaji utulivu wa rohoni

 8. Mtaongeaaaa kila lugha mnazozijua ninyi, iwe kitaalam, kimazingira, kisayansi n.k lakini siri za rohoni zitafunuliwa kwa watu wa rohoni. Na huwa hakuna huhitaji wa vyeti wala malipo kwa wale wanataka kufunuliwa siri hizi.

 9. All the Signs of Pregnancy Except One: A Baby
  TWITTER
  LINKEDIN
  SIGN IN TO E-MAIL OR SAVE THIS
  PRINT
  REPRINTS
  SHARE

  By ELIZABETH SVOBODA
  Published: December 5, 2006
  Dr. John Radebaugh still vividly remembers his first professional comeuppance.

  Enlarge This Image

  Stapleton Collection/Corbis
  Mary Tudor, the English queen, is believed to have suffered from pseudocyesis, or false pregnancy.
  Enlarge This Image

  Juliet Borda
  In the mid-1960s, Dr. Radebaugh, a young pediatrician, volunteered at a clinic for migrant farmworkers in Rochester, and one evening he got a call that a woman was in labor.

  When he arrived at the scene, he found the woman with a melon-size stomach, groaning and writhing in pain.

  “From the condition she was in, we thought she was going to deliver right then and there,” he recalled.

  Dr. Radebaugh and the clinic workers who came with him decided to forgo a pelvic exam and drive the patient to a hospital emergency room posthaste. As he helped the woman into a wheelchair at the hospital, her water seemed to break, drenching him in clear fluid.

  But when he called the hospital the next day to check on the patient’s progress, Dr. Radebaugh got an unexpected answer.

  “Oh, she isn’t here,” the attending doctor told him. “She was discharged last night.”

  “Last night? How is that possible?” he asked.

  “She wasn’t in labor at all; she just had a full bladder. It’s a case of pseudocyesis,” the doctor replied, leaving a chastened Dr. Radebaugh to look up the diagnosis.

  Despite Dr. Radebaugh’s embarrassment, his unfamiliarity with the woman’s condition was hardly surprising. Pseudocyesis, or false pregnancy, is rare, occurring at a rate of 1 to 6 for every 22,000 births. Though scientists are still largely baffled about what causes it in humans, recent case studies and studies of similar conditions in animals are beginning to provide insight, exploring the role of hormones and psychology.

  Those who suffer from the disorder present a constellation of symptoms that mystify even seasoned practitioners. Not only do they fervently believe they are pregnant, but they also have bona fide symptoms to back up their claims, like cessation of menstruation, abdominal enlargement, nausea and vomiting, breast enlargement and food cravings.

  A few patients with pseudocyesis even test positive on pregnancy tests, said Dr. Paul Paulman, a family practitioner at the University of Nebraska Medical Center.

  “Every sign and symptom of pregnancy has been recorded in these patients except for three: You don’t hear heart tones from the fetus, you don’t see the fetus on ultrasound, and you don’t get a delivery,” Dr. Paulman said.

  Though the disorder is unusual, cases of false pregnancy have been reported in human societies since ancient times, providing evidence that the phenomenon is not bound by time or culture. In 300 B.C., Hippocrates described 12 women who “believed they were pregnant,” and Mary Tudor, the English queen, is widely believed to have suffered from pseudocyesis. (Some commentators say the violent acts that gave her the nickname Bloody Mary were reactions to finding out she was not carrying an heir after all.)

  For hundreds of years, pseudocyesis has largely been the domain of psychiatrists, spawning many psychological theories about the origins of the condition. According to Sigmund Freud’s memoirs, his most famous patient, “Anna O,” believed she was pregnant with the child of her previous psychoanalyst, Josef Breuer. Freud attributed this development to what he called transference, or the strong attachment patients form with their psychoanalysts — a concept that would later form the cornerstone of Freudian theory.

  Other psychiatrists have suggested that pseudocyesis occurs in patients who desperately want to become pregnant — or who have a strong desire to be involved in a family member’s pregnancy experience. In a recent issue of the journal Psychosomatics, Dr. Biju Basil, a psychiatrist at Drexel University, reported a case of a woman who went through false delivery at the same time her son’s girlfriend was giving birth.

  “She started having labor pains. She had been pregnant before, and she said they felt exactly the same,” Dr. Basil said. “She even gave a ‘final push’ the way she had when she delivered her own children.”

  Dr. Basil speculated that the woman’s condition arose from a deep-rooted desire to participate more fully in the birth of her first grandchild.

  “Since she was not very appreciative of her son’s girlfriend, she was never welcome in their house,” he said. “She wanted to play a more active part in this new life that was coming into the world.”

  Still, for all the theories about false pregnancy’s origins in the subconscious, biological studies suggest it may be in part hormonally mediated as well. Because of the small number of people who have the disorder, no large-scale studies have been conducted to establish a typical hormonal profile of pseudocyesis patients. But case studies at the University of Michigan and elsewhere indicate that many patients have elevated levels of hormones like estrogen and prolactin — compounds that can cause physical symptoms like abdominal swelling and milk excretion, as well as psychological ones like wanting to bond with a baby.

  This raises the possibility that pseudocyesis is the result of a delicate mind-body feedback loop: an initial emotional state induces abnormal hormone secretion, which in turn has its own physical and psychological effects. According to Dr. Mary Erskine, a biologist at Boston University who studies the neurology of reproductive systems, anxiety may be one emotional state that helps set this feedback loop in motion.

  “Stress can really influence the regularity of an ovarian cycle,” Dr. Erskine said.

  In dogs — a species with much higher rates of false pregnancy than humans — the disorder has been traced to high levels of certain reproductive hormones, in particular prolactin. Unlike humans, dogs have a long late phase of their ovarian cycle during which an ovarian structure called the corpus luteum produces large amounts of progesterone.

  If the dog does not become pregnant, the corpus luteum wears out slowly, over a period of up to 70 days. The consequent drop in progesterone levels causes high levels of prolactin secretion, giving rise to milk production, an enlarged abdomen and a host of misdirected mothering behaviors.

  “We get dogs that start guarding their stuffed animals and acting like they’re their babies,” said Dr. Chris Cauble, a veterinarian in Glendale, Calif., who regularly treats dogs with pseudocyesis. “It’s amazing how powerful these hormones are and the emotional effects they can have.”

  The quickest way to treat false pregnancy in dogs, he added, is to give them shots of another hormone like testosterone, which quickly brings prolactin levels back into the normal range and stops the associated symptoms.

  Because study subjects are in such short supply, Dr. Paulman is not optimistic that human pseudocyesis will ever be completely scientifically understood. Still, he hopes that continued study of individual cases will produce a clearer portrait of how the brain can send the endocrine glands into such a frenzy that a woman who is not pregnant can appear to be in screaming labor.

  “The pituitary gland is located right at the base of the brain, and that’s where all the hormones come from” in pregnancy, he said. “This is one of the classic examples in medicine of how the mind affects the rest of the body.”

 10. Daktari hawakumwamini mama maana wanaamini haya yafuatayo:
  Hysterical pregnancy is also known as false pregnancy.
  Hysterical pregnancy is also known as false pregnancy. False pregnancy, most commonly termed pseudocyesis in humans and pseudopregnancy in other mammals, is the appearance of clinical and/or subclinical signs and symptoms associated with pregnancy when the person or animal is not pregnant. Clinically, false pregnancy is most common in veterinary medicine (particularly in dogs and mice). False pregnancy in humans is less common, and may sometimes be purely psychological.

  Ref. below for “Hysterical pregnancy”
  Hysterical pregnancy:

  pseudocyesis
  a condition in which a woman believes that she is pregnant when she is not. Certain signs and symptoms suggest pregnancy, such as the absence of the menses, although conception has not occurred and therefore there is no embryonic development. The condition may be psychogenic in origin or caused by a tumor or endocrine dysfunction. Also called false pregnancy, pseudopregnancy, spurious pregnancy.

  “pregnancy, most commonly termed pseudocyesis in humans and / after nine months of symptoms”
  pregnancy, most commonly termed pseudocyesis in humans and …. or after nine months of symptoms, by experiencing “hysterical childbirth,”
  A false or hysterical pregnancy which occurs when a woman wants very badly to be pregnant but has an unusually hard time conceiving, can raise the HCG

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s