Kitabu cha “HATUA NYINGINE” kiko tayari!

Ikiwa upo tayari kutoka hapo ulipo ili uende katika HATUA NYINGINE, usiogope kulipa gharama. Kulipa gharama si adhabu ni majukumu ya kawaida katika maisha. Kuna gharama kutoka kuwa ‘single’ hadi kuwa na mwenzi, kutoka kuajiriwa hadi kujiajiri, kutoka kuwa maskini hadi tajiri, kutoka kuwa mtu mzuri hadi mtu mkuu, kutoka kuwa unaanguka kila siku hadi kuwa unasimamisha wanaoanguka.

Kutoka hatua moja na kwenda katika HATUA NYINGINE inaweza kuwa ni:
1. Kutoka kuwa mgonjwa hadi kuwa na afya tele na kusaidia wagonjwa wengine,
2. Kutoka kuwa ombaomba hadi kuwa mtoaji,
3. Kutoka kuwa mkia hadi kuwa kichwa,
4. Kutoka kukosa amani hadi kuwa na amani ya kudumu,
5. Kutoka kuwa single hadi kuwa na mwenzi sahihi,
6. Kutoka kuwa na ndoa dhaifu hadi kuwa msaada kwa wanandoa wengine,
7.Kutoka kuwa mfanyabiashara mdogo hadi mkubwa,

8. Kutoka kiwango kimoja kielimu hadi kingine,

9. Kutoka kuwa mpangaji hadi kuwa mpangishaji.
10. Kutoka kuwa mkopaji anayeshindwa kulipa madeni hadi kuwa mkopeshaji, n.k.
INAWEZEKANA! KATIKA KITABU HIKI CHA ZAIDI YA KURASA 160, TUMEWEKA NGAZI SABA (HATUA SABA) ZA KUKUSAIDIA KUFIKA KATIKA HATUA NYINGINE. GET YOUR COPY NOW AND WE INVITE FEEDBACKS AND COMMENTS. 0717085810, 0758416940, 0782085810.
Advertisements

4 thoughts on “Kitabu cha “HATUA NYINGINE” kiko tayari!

 1. Mimi ni mwandishi wa kitabu hiki, ahsanteni kwa michango na maoni, kwa wanaotaka kitabu tafadhali nipigie simu hizo zilizowekwa hapo juu tutahakikisha unakipata. Mungu awabariki na awapeleke katika HATUA NYINGINE.

 2. Mungu akubariki mtumishi ila hujaweka jina la mwandishi wakitabu hiki pamoja na anapo abudu.

 3. Bwana Yesu asifiwe

  jamani nanapenda kujuwa jinsi gani ninaweza kupata kitabu cha HATUWA NYINGINE.

  vIPI KINAWEZA KUNIFIKIA NIKIWA BUJUMBURA BURUNDI?

  nshimirema@yahoo.fr
  +257 79970018

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s