Huu ni ujumbe wako?

Utaishi kutimiza ndoto Mungu alizokupa, uta-shine kwenye dunia iliyojaa giza, usiogope aliyeinuliwa sana yuko ndani yako, adui anakuwinda sana na yeye anawindwa zaidi na jeshi la malaika walio hodari, adui akinguruma kama simba anamwamsha tu SIMBA WA YUDA wa ukweli ambaye ngurumo yake yamsambaratisha vibaya mbele zako. wewe ni wa THAMANI sana!

–“B” Family

Advertisements

4 thoughts on “Huu ni ujumbe wako?

  1. Ni kweli kabisa yupo Yesu anayetutea hata tuwe washindi vitani
    Ni yeye yule jana leo na hata milele.
    Kwanini tuwe na mawazo ya kushindwa wakati yeye mwenyewe Mungu wa mbingu na nchi amesema “Kila silaha itakayoinuka juu yako,haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka katika hukumu kukuhumu utauhesabu kuwa mkosa………….” (Isaya 54:17)

  2. jina la BWANA lihimidiwe! Moyo wangu unamshukuru MUNGU kwa ujumbe huo mzuri wenye faraja na kutia moyo. Mubarikiwe sana na BWANA!

  3. Amen…ndivyo ilivyo sisi tu wana wa Mungu aliye hai.jina la Bwana na libarikiwe.

    ________________________________

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s