Udini Tanzania, Tusitumie “mabavu”

Bwana Yesu asifiwe wapendwa! Ikiwa Mungu wa kweli anasikia maombi na kuona matatizo ya watu wake. Hakuna haja ya kutumia mabavu! Mungu wa Israel atupe ujasiri, kuamini kwamba atatupigania Tusimame kwa nafasi zetu na kuomba,

“Maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome ” –  2Wakorintho 10:4

“BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyaza kimya” Kutoka 14:14

TUKATAE UCHOCHEZI WA DINI TANZANIA

Advertisements

12 thoughts on “Udini Tanzania, Tusitumie “mabavu”

 1. Namlaumu sana mohammed nabii wa uongo.ambaye hukumu yake ni motoni kwa kuwadanganya wengi kuwa katumwa na mungu kuleta uislam.Yeye alitumwa na lucifer na ndiyo maana quran inaimiza ugaidi na kuabudu majini.

  lakini Mungu awasaidie ili mwijue kweli,PASIPO KUMKUBALI YESU MBINGUNI MTAPASIKIA TU LAKINI KUINGIA NI KAMWE. Yesu Kristo wa Biblia sio Isa wa quran kwa Taarifa.Isa wa quran ajazaliwa.maana quran ilimtabili isa kuwa atazaliwa wakati Kristo alishazaliwa karne sita nyuma.hayo na mengi ntafundisha ili mjue Yesu.

 2. Kaka yangu au dada Sungura, usipoteze muda , wala kumkosea Mungu kwa kujibishana vibaya na hawa watu, kwani mpaka hivi sasa kama hawajaweza kuona udhaifu wao ni hatari sana, inabibi watu wa Mungu tumuombe bwana wa majeshi afanye kitu kwao, kwani wameikataa kweli ambayo ndiyo ingewaweka huru, zaidi ya hapo hakuna la msingi zaidi ya kutuletea sisi wana wa Kristo makwazo.

 3. Shukuru kuna nini ambacho wewe kama mwislamu unakidai katika hii nchi ambacho kanisa limekunyang’anya,na unakidai kwa nani (kwa kanisa au serikali)?

  Nyinyi mnasumbuliwa na kutokupenda kusoma na kung’ang’ania ujinga wa kutumia muda mwingi kusoma madrasa. Mmekubali kutumiwa na ibilisi hivyo na ninyi mmejipambanua kuwa ni wana wa ibilisi.

  Mmeng’ang’ania utamaduni wa zamani sana wa imani yenu ndio maan mnapwaya sana katika dunia ya leo ambayo imeendelea sana. Mantiki karibu zote katika madai yenu ni za kipuuzi zisizo na mashiko kati ya watu wenye ustarabu wa ki utu. Mmetukuza dini kuliko hamani ya mwanadamu kana kwamba mwanadamu kaumbwa kwa ajili ya dini alhali dini ndo imetengenezwa kwa ajili ya mwanadamu.

  Ulishaona katika nchi ipi madaraka wanagawanywa kwa kufuata itikadi za dini badala ya sifa zinazotakiwa? ati mwataka kama nafasi ni kumi basi tano wakristo tano waislam. Mna akili yenye afya kweli! Mwanataka madaraka ya nchi wapewe watu waliohitimu elimu ya mdrasa ndio waongeze kizazi cha sayansi na teknolojia? Zanzibar yenyewe iliyojaa wahitimu wa madrasa imewashinda kuijenga. ni chakavu yenye sura ya zamani utadhani maganjo. Vijana wa kizenji kazi yao ni kuswali sala tano,kuuza kashata,tende na korosho, na kufanya ufilaji, ati watu wa namna hiyo tuwaamini kuwa wanweza kujenga nchi!

  Wewe umesema kitaeleweka tu,sawa kitawaelewekea nyinyi. Sisi tuko na nguvu za rohoni mpaka mwilini, tutawasambaratisha mpaka mahali penu hapataonekana.

  Haya endeleeni na mikakati yenu michafu dhidi ya wakristo tuone mtafika wapi!!!

  Hatujawahi kuchoma msikiti

 4. Lwembe umesema kitu cha msingi sana kisheria.

  Ivi kweli huyo mtoto kama hakuwa ametumwa itawezekanaje atoe qurani ikojolewe? Walitakiwa wamtandike viboko kwanza yeye, kisha na yeye apandishwe kizimbani.

  Nafikiri wanasheria wataliona hilo.

 5. Shukuru,
  Mawazo kuwa unaweza kuwafanya watu wooote kuwa Waisilamu ni ufinyu wa akili kuweza kufikiri sawasawa; na kuharibu mali na kuwatishia jirani zako, ili kuiinua nafsi yako, ni tatizo la kisaikologia; yaani, ‘INFERIORITY COMPLEX’!!!

  Complex hii, huishia kuwa violent, wakijitoa muhanga, na kuwaua watu wasio na hatia. Kiini cha complex hii ni wivu mkali usio na matumaini, kutokana na kukosa jitihada katika maisha. 

  Shukuru, siujui umri wako, lakini ninakushauri uongeze jitihada katika unalolifanya ili uyamudu maisha. Kuwa shabiki wa dini bila akili, kutakuongezea umasikini kuliko ulionao sasa hivi. Na hao unaodhania utawashinda kwa kuharibu mali zao, unajidanganya, wanao uwezo wa kuhimili yote hayo, na mwishoni utajivunja mwenyewe uti wa mgongo!

 6. kitaeleweka tu kama mnafikiri Tanzania ni yenu peke yeu mnajidanganya

 7. Mnajua, ndugu zangu, kweli tuzidi kumuomba Bwana atuzidishie Hekima, ili ituongoze katika maamuzi yetu.

  Hivi mnajua kuwa mwenye kesi haswa ya kuidhalilisha Quran ni yule kijana mdogo wa kiislamu ALIYEITOA Qurani yake IKOJOLEWE? Huyo ndiye anayepaswa ashitakiwe kwa kosa hilo la kuitoa hiyo Quran ikojolewe na yule kijana wa kikristo, yeye anapaswa kushitakiwa kwa kosa la kushiriki jambo hilo!!!

  Ninaamini hiyo ndiyo haki ipaswayo kutendeka!

  Mbarikiwe nyoote!

 8. Michael,

  Tuwaombee kwa Mungu yupi? Tuombe ili wapate nini? Ungesema tujiombee sisi na wanetu ningekuelewa!

 9. Yahitaji sana uchaji Mungu. Maana inaudhi kweli kweli kwa hawa wenzetu wtoto wa mama mdogo(waislamu). Sisi hatuwezi kulipa kisasi, maana kisasi ni cha Bwana. Tuwaombee sana.

 10. They belived a fable, spiritual sensations took over, they saw, of God, a mirage, and when they reached out for Him, lo, they found an expanse of emptiness!! 
  Religious Desperados were born!!!

  When they turned around at the cranky noise of school children collapsing after kicking a stray cat, all shouting, Caaat! before falling down unconcious; their guts ran cold, a cold chill of fear ran thru their spine; frustrations set in, they asked between themselves, didnt that boy drop dead when urinating on it?  Silence. .. Some one answer me! Belched the speaker, a lying spirit was in the vicinity, the boy died in the cell! Lets go prove it!! I was wondering, how could cat kicking cause fainting, and greater than the stupid cat has been mocked here!! When they learnt that the kid was fine and having a cool chicken chips meal, that was it! Where is this God, how could he let that kaffir boy be accorded such a splendor? Call the boss and tell him God didnt show up, we want some action! The explosive nature coiled in them was yearning to explode, and the boss knew they could turn on him now that they are sure god doesnt give a damn abt it, the cat show was pulling more attention than the urinating on it! The boss: Yes, iam having a meet with him here, here is his order; BURST IIIIIN, NOW!!! At last god showed up; thats how fables go, the rest is history!

  They are a nice people, our neighbours, Lord, have Mercy on them, Amen!!!!!!!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s