Mwinjilisti Robert Kayanja

Robert Kayanja kiongozi wa kanisa la Miracle Centre Cathedral, Kampala, mji mkuu wa Uganda. Ni mmoja kati ya watu wenye nguvu sana nchini humo. Alimpokea Bwana Yesu akiwa na miaka 22. Alianza kanisa na watu wachache. Leo amekuwa mhubiri wa kimataifa pia ana vipindi vya kila wiki vyenye jina Miracle Life Television programmes vinavyorushwa Lighthouse na Daystar Televishen Networks ana chuo cha Biblia, Kituo cha kulelea watoto yatima pamoja na kituo cha TV.

Kanisa la Miracle Centre limeanzisha zaidi ya makanisa 1,000 nchini Uganda. Mungu amekuwa akimtumia  Mwinjilisti na Mchungaji Robert Kanyanja katika ishara na miujiza.

Advertisements

3 thoughts on “Mwinjilisti Robert Kayanja

  1. Priase our LORD JESUS I’m so happy to see that you are doing in to beold the body of CHRIST this is so good. so I want to be your friend. may GOD bless you I came from Tanzania in Mbeya city

  2. namshukuru Mungu kwa jinsi anavyo mtumia mtumishi wake Robert Kayanja kuwasaidia watu,kuwaweka huru,kutoka ndani ya nguvu za giza, kuwatangazia wokovu wa kweli, Mungu ambariki sana, tafadhali tuna mkaribisha kwetu Marekani aje kutuhudumia pia,tuna kila kitu lakini huduma za kiroho ni hafifu sana Mungu anipe kukutana naye sikumoja,

  3. shallom!
    Aiseee Mungu wa Mbingu na nchi amwinue juu sana katika viwango vya utakatifu.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s