Mashoga Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo, Uganda

Serikali ya Uganda inatarajia kupitisha sheria ya kuua “mashoga” mwishoni mwa mwaka huu. Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga amesema hivi karibuni kwamba sheria hiyo itapitishwa kabla ya mwezi December kuisha.  Baada ya habari hii kusambaa nchi mbali mbali waganda walitetea hoja hiyo kwa kubeba mabango yenye kutaka sheria ianze upesi.

Hata hivyo haikuwa kimya kwa nchi zinazokubali ushoga, baadhi ya nchi na asasi za kimataifa wamepinga suala hilo.

10 thoughts on “Mashoga Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo, Uganda

  1. jamani mimi niko nje ya mada kidogo hivi sadaka nilazima kutolea kanisani ndio itahesabiwa utoa sadaka?nikimsadia mhitaji siitaheabiwa ya kuw animetoa sadaka tuwapendwa mwenye kuelewa zaidi anifafanulie asanteni wapendwa

  2. Uganda msiue mtauliwa pia, toeni mafundisho ya Ki- Mungu hukumu nzito kama hizo aachiwe Mungu pekee, nanyi mashoga mnafaidika nini?

  3. Sawa sawa kabisa dada Rosemary, Cath na Monda nakubaliana nanyi 100% kuwaua siyo dawa… Yesu ni Pendo.

  4. ni kweli hii roho nichafu sana ila kuwaua ni kuwanyima uwezekano wa kutubu na kumrudia Mungu, waadhibiwe lakini pia kanisa tuhubiri injili iwafikie hasa vijana waliokata tamaa, pia wafungwa. Bado injili haijawafikia watu wote wapendwa tusibweteke.

  5. Mmm Mungu atusaidie roho hii ni mbaya chafu, chafu mno isiyokubalika duniani pote. Nisichokubaliana nacho ni hukumu ya kuwaua watu hawa. Hukumu hiyo ni kali sana ambayo kwa hakika itawafanya watu kuogopa kimwili tu, lakini chanzo cha uchafu huu utakuwepo bado upo pale pale kwa kuwa ni roho chafu na kwa kuwa mwanzilishi wake ni shetani bado haitasaidia sana kwa kuwa shetani atakuwa bado yupo.

    Lakini Mawazo yangu nadhani tuombe ili kanisa lipambane kwa hali na mali dhidi ya roho hii chafu ili kuharibu nguvu ya ushawishi wa tendo hilo kwa wahusika but… kuwaua ni adhabu kubwa sana….

    Makunzo

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s