Safari ya Mbinguni!!

safari

Wapendwa wana SG napenda kushirikiana nanyi jambo hili muhimu sana kwa habari ya SAFARI YA MBINGUNI.

JAMBO LA KWANZA

Ni kweli kabisa Biblia imeandika kuwa “waitwao ni wengi bali wateule ni wachache”.Lakini pia haikukosea kabisa kuandika na kusomeka kana kwamba kwenye maji,kila aonaye na aone kwa wepesi kuwa “Si kila mtu aniitaye Bwana atakayeingia Mbinguni”,na kama ni hivyo basi,je ni akina nani watakaoingia Mbinguni?.Ni dhahiri kabisa ni wale tu walioandikwa majina yao kwenye kitabu cha UZIMA wa Milele cha Mwanakondoo.

JAMBO LA PILI

Ni ukweli usiopingika kuwa watu wote walioamini kwa mioyo yao na kukiri kwa vinywa vyao kuwa Yesu Kristo ni Bwana na Mwokozi,hakika hao WAMEOKOKA.(Warumi 10:9-10).

   Lakini kwa habari ya UTUMISHI WAKO NDANI YA YESU ni tofauti kabisa.Tuelewe VITU HIVI VIWILI.

1)Watu wote waliokoka wanamtumikia Mungu.

2)Lakini Si wote waliokoka wanalitumikia KUSUDI LA MUNGU.

KWAHIYO NI VYEMA KILA MTU AKATAMBUA kusudi LILILOPO NDANI YAKE KISHA AKAMDHIHIRISHA MUNGU KWA HILO.

Elisante Daniel anawapenda wote

Advertisements

2 thoughts on “Safari ya Mbinguni!!

  1. MPENDWA ELISANTE,
    Hoja yako ni njema sana, lakini sijaelewa kwa vipi mtu aliye okoka ambaye anakuwa mtumishi wa Mungu asitende mapenzi ya Mungu? Kama hatumiki ktk mapenzi ya Mungu atakuwa “Mtumishi” wa nani? Nikweli kila aliyeokoka ni Mtumishi wa Mungu! Nitafurahi ukinijibu kwa kutumia maandiko, Mungu aendelee kukubariki.

  2. ni kweli ukiokoka tambua Mungu kakuita na ustake kuwa na huduma kubwa kama mtu fulani ili unene kama anavyo nena yeye bali wewe tafute mapenzi ya Mungu na anataka umtumikie ktk huduma ipi au karama ipi usije ukaingia ktk safu ambayo si yako na ukakaosea.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s