Wachungaji na Mavazi!!

majina

Bwana Yesu asifiwe. Si vibaya mchungaji kuvaa nguo yenye kutambulisha kazi yake, mfano kola, joho nk. Je, Ni sahihi kwa mchungaji wa kanisa lako kuvaa nguo yenye jina lake?

Advertisements

5 thoughts on “Wachungaji na Mavazi!!

 1. Duh, jamani hiyo ya kupiga charter mavazi nilikuwa sijawhi sikia wala ona!
  Ngoja na mimi nije nipige charter suti zangu ” PROPHET & APOSTLE R. Mkandya”
  Hiki kizazi ni kazi kwelikweli.
  Next time nitatoa maoni yangu, leo nilikuwa nashyangaa tu.

 2. Mimi pia sikubaliani na Watumishi kuvaa mavazi yenye jina lake au yenye kumsifu kwa namna yeyote.Hii ni kwa sababu maandishi kwenye nguo yake yanaweza kuondoa uwepo katika ibada(Concentration).Si yenye jina lake tu ila nguo zenye maandishi in general si vizuri labda kama mchungaji husika yuko katika tukio lingine tofauti na Ibada.AMINA

 3. Dj,
  Usifurahie kwa Wanawake kutohubiri au kutowatawara ninyi Wanamme, bali NI ndiyo pekee Neno la kweli la Mungu! Kama kweli unaunga mkono maelekezo ya Biblia, unga mkono pia kuwa Kanzu haijaelekezwa na Biblia ivaliwe na watumishi wa Yesu kwa vile ati Yesu alivaa wala hakuna pahala popote ktk Biblia ponaposema kanzu ni vazi la heshima sana lipaswalo kuvaliwa na kila mwenyekujiheshimu.Ukivaa kanzu itabidi pia uvae kofia,kitendo hicho ni kumwaibisha kristo unapohutubu! ndo Biblia, VIPI IKO VIZURI?
  Lazarus.

 4. Mkristo wa kweli hufata tabia za Yesu Kristo ,vazi bora nilile alilokua akivaa mfalme Yesu ambalo ni kanzu na sio suruali za vitambaa na suti za kifahari.nimefurahishwa nandugu LAZARUS hapo juu kwamba hawana wachungaji wakike kanisani kwao nisafi,hata biblia inakataa wanawake kuhubiri na kumtawala mwanaume.

 5. KANISANI KWETU NI MARUFUKU MCHUNGAJI ANAPOHUTUBU KUFUNIKA KICHWA NA KWA VILE HATUNA WACHUNGAJI WA KIKE SISI HATUPATI SHIDA NA AINA YA MITINDO, MISHONO AU AINA YA VITAMBAA. ILA YAWE YAMPASAYO MKRISTO WA KWELI MWAMINI WA NENO LA MUNGU!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s