Matumizi ya Jina la Yesu katika maombezi!

maombezi

Je mtu anaweza kutaja jina la Yesu Kristo kutoa pepo na kuombea wagonjwa na huku anatumia nguvu za giza?

–Eunice

Advertisements

5 thoughts on “Matumizi ya Jina la Yesu katika maombezi!

  1. JAMILLAH,
    Ukweli uliuachia pale ulipoanzia kupata Habari hizo, maana ukweli wa habari za kusikia zinategemea Ushahidi!

  2. Kuna wahubiri tunasikia wanaenda kwa waganga kutafuta nguvu za giza kuombea? mi nataka kujua hapo

  3. Hapo inategemeana na imani ya mtu anayeombewa, wakati mwingine hata neema ya MUNGU yaweza kuhusika.

  4. EUNICE,
    Katika Neno la MUNGU, kuponya na kutoa pepo kwa jina la Yesu,hakumanishi anayelitumia Jina hilo anakubalika sana na Mungu! Yapo mambo matatu yanayofanya Pepo au magonjwa yatii; 1.NENO, Mungu daima huangalia Neno lake apate kulitimiza. 2. IMANI- Imani ktk Neno la Mungu humpa haki mhusika kupokea anachohitaji. 3. KIPAWA, Kipawa cha Roho Mtakatifu hakina majuto! Mtu akijariwa kipawa anaweza kukitumia kila Palipo na mapenzi ya Mungu na Jambo likawa, kisha Muombeaji huyo,akakataliwa!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s