Ninaomba Mungu anipe mume mwema!

maombi

Bwana Yesu Asifiwe watu wa Mungu, Heri ya Mwaka mpya!

Tar 18/2/2011 nilileta ombi mahali hapa lakini mpaka sasa bado sijajibiwa, wapendwa katika Kristu naomba muendelee kuungana nami katika hitaji langu la kupata mwezi wa Maisha.

Naomba Mungu anipe mume alie mwema anayefanana na mimi.Ninatamani sana na mimi siku moja nije kufunga ndoa.

Eeeeh Mungu naomba unikumbuke na mimi!

Barikiweni sana.

–G

lovegrace82@live.com

—————————————————————

Jaman wapendwa naomba maombi yenu natafta mchumba

–E.E

frienderah@hotmail.com

Advertisements

12 thoughts on “Ninaomba Mungu anipe mume mwema!

 1. Bwana Yesu asifiwe!!
  Kama vijana wapendwa tunshauriwa tusikate tamaa. Tuendelee kumshirikisha Mungu katika hilo maana yeye mwenyewe anatutia moyo kupitia neno lake kuwa kila amwombaye atampa.Hivyo, tetegemee kuwapata wenzi wetu kadri Mungu atakavyotuonyesha.Mbarikiwe!!

 2. our GOD is faithfully more than we think. hence if we asked bread he will give us. let we continue praying and make him remember his promise to us as Isiah43:26.

 3. Dada mume mwema anayekufaa wewe ndiye unayemjua, maana unajijua ulivyo na unavyotaka yeye awe.

  Huhitaji kumwomba au kuombewa Mungu ili upewe huyo mtu, bali wewe mwenyewe tafuta huyo mtu maana unajua mwenyewe unataka aweje. unachotakiwa kumwomba Mungu ni uongozi wake wa kukufikisha mahali alipo huyo mtu.

  Kinachoweza kuwa kinakusumbua katika hilo bila shaka ni hofu tu ya kukosea.

  Mungu atakusaidia usiogope!

 4. ni kweli kabisa kuwa Mungu baba hachelewi kumjibu mtu bali humpa kwa wakati uliokubalika. naomba kama utaweza ukakitafute kitabu kinachoitwa “MTAMBUE ANAYEFAA KUWA MUME AU MKE WAKO” kiko Ubungu TAG au pale stendi ya mkoa kwa wauza vitabu kitakusaidia sana

 5. Mungu hawai wala hachelewi zidi kumwomba maana yeye ajua kilicho ndani yako atakupa ubavu wako kuwa na uvumilivu na kuwa na IMANI kwa jambo hili. BARIKIWA

 6. Mungu ni mwaminifu.Mwamini Yesu na amini ahadi yake kwamba UTAFUTENI KWANZA UFALME WAKE NA HAKI YAKE NA HAYO YOTE MTAZIDISHIWA MATHAYO 6:33

 7. mbona wanautafuta kwa kweli hawakutani. nami pia namwomba Mungu anipe mke atakaye ni penda nami pia nimpende na tudumu katika pendo tukimtumikia milele.

 8. WE ARE THE SAME ROAD G. SO LETS KEEP PRAYING COZ I OUR GOD WILL ALWAYS HEAR US AND HE WILL GIVE US AT THE RIGHT TIME

 9. Mungu akujibu sawasawa na hitaji la Moyo wako Mpendwa endelea kusubiri usife moyo maana Mungu wetu hachelewi wala hawahishi.
  pokea hitaji lako katika jina la Yesu kristo aliye hai!!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s