Isa wa Quran ni Yesu wa Biblia?

biblia

Soma Biblia

Shalom!

Kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia wakristo wengi pamoja na waislamu, wakisema kuwa Isa wa kwenye Quran ni Yesu wa Kwenye Biblia, JE NI KWELI?
–IM
Advertisements

9 thoughts on “Isa wa Quran ni Yesu wa Biblia?

 1. pia isa wa quran mimba yake ilikuwa ya siku moja wakati Yesu wetu alikuwa tumboni mwa mariam kwa muda wa miezi 9,msidanganyike wapendwa,mimi nilikuwa muislamu ila kwa sasa nataka niokoke

 2. Ahsante Ezekiel nami naongeza moja, Isa atakapokuja atafikia katika msikiti moja huko Damascus Syria watakao muona ni wale waliopo msikitini tu, wakati Yesu kama vile umeme utokeavyo mashariki ukaonekana hadi magharibi kila jicho litamuona na kila goti litapigwa mbele zake na kila ulimi utakiri ya kuwa yeye ni Bwana.

 3. Mimi ninaamini kuwa YESU Kristo ni tofauti kabisa na Isa Bin Mariam kwani kama ni yule yule basi dini ya kiislamu isingekuwepo kwani YESU hakuja kuanzisha Msikiti bali KANISA.
  Pili ,YESU ni mkombozi wakati Isa ameelezewa kama mtume tu.
  Tatu, YESU ni MUNGU wakati ISA si MUNGU hata katika dini ya kiislamu yenyewe
  Nne,YESU alifufuka wakati ISA hakufufuka.
  Tano, Yesu aliibatilisha vita vya mwili na kuleta vita ktk ulimwengu wa roho wakati bado waislamu wanamini vita ktk ulimwengu wa mwili.
  Sita,YESU atakuja kuihukumu dunia wakati kwa waislamu ISA hajapewa hiyo sifa

  KWA KIFUPI ISA SI YESU KWA MAELEZO YA QURAN YA KIISLAMU VINGINEVYO QURAN YENYEWE IMEPOTOSHA KUHUSU ISA BIN MARIAM.
  MBARIKIWE SANA WAPENDWA

 4. kwa kweli kama kuna mtu anaweza kutuelimisha sisi wengine ambao hatuna elimu yeyote kuhusu uislamu Isa ni nani? na historia yake hipo vipi? anausika vipi katika hizi dini mbili? au hausiki kivipi na dini hizi mbili?

 5. Issa wa quran,hafanani kabisa na Yesu yani hata kidogo,tuanze na kuzaliwa Yesu kazaliwa Bethlehemu ya uyahudi, Issa kwenye mtende,wazazi wa Yesu na ukoo,hivyo haiwezekani mtu mmoja kazaliwa sehem mbili tofauti.

 6. Hapana, issa wa quran siyo Masiya wetu,musidanganyike shetani ana hila zake na hupenda kujifanya kuwa malaika wa nuru lakini amegunduliwa.
  Yesu tunaye muabudu ni Yeshua wa Nazareti.

 7. HAPANA.
  SI YOTE YALIYOANDIKWA KUHUSU ISSA YANAMHUSU YESU KRISTO.
  HUYO NI MTU WA KUFIKIRIKA WA WAISLAMU.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s