Ni jambo jema kumshukuru Mungu

thankyou

Bwana Yesu Asifiwe ninayo furaha na habari njema kwani Mungu amenitendea maajabu na ni mwema nashukuru kwa maombi yenu ,nilikuwa na tatizo la tumbo ambalo lilininyima raha hapo mwanzo ila nilijipa moyo kuwa mtetezi wangu yupo na atatenda muujiza juu yangu kwani nilihangaika sana kwenda hospitali na tatizo halikuonekana ,mwisho nilikazana na maombi hadi siku ya jana jioni ndipo niliona muujiza wangu na nikamsifu Mungu kwa kulisifu jina lake kwani ni muweza wa yote hakuna gumu lililo mbele zake,Wapaendwa tusiache kumtukuza Mungu na Yesu pamoja na Roho Mtakatifu hata kama ukijibiwa ombi lako mtukuze Bwaana,unapotembea lisifu jina lake, unapolala sifu jina lake,unapooga sifu jina lake milele na utaona utukufu wake milele,pia muite Roho Mtakatifu pale unapokuwa unasali kwani hutusaidia kutuunganisha na Mungu tunapokuwa tunaomba. Warumi 8

–Babby

2 thoughts on “Ni jambo jema kumshukuru Mungu

  1. pokea muujiza huo na uponyaji huo katika jina la Yesu Christo wa Nazareti. umempata rafiki mwema wa kukulinda na kukuponya na mabaya yote , ikiwa ni pamoja na magonjwa. umshike sana usimwachie kamwe maana uzuri wake umeuonja.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s