Mauaji ya Padri Zanzibar, Raisi Kikwete atoa tamko

padre

Kwa kanisa nzima Tanzania na Dunia, tunapenda kuwajulisha kuwa leo asubuhi Padiri Mushi alipigwa risasi na kufariki hapo hapo. tunaomba uwajulishe wakristo wote taarifa hizi za masikitiko makubwa. Bwana ametoa Bwana ametoa Jina la Bwana libarikiwe.

–Mch. Timothy

Raisi Kikwete Atoa Tamko

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kuuawa kwa Padri Evarist Mushi wa Parokia ya Minara Miwili ya Kanisa Katoliki mjini Zanzibar, mauaji yaliyotokea Zanzibar.

Rais Kikwete anawapa pole nyingi na rambirambi za dhati ya moyo wangu Baba Askofu Augustino Shayo wa Jimbo Katoliki, Zanzibar, maaskofu wote nchini na waumini wote wa Parokia ya Minara Miwili kwa msiba huo mkubwa uliowakuta.

Rais kikwete amemwambia Baba Askofu Shayo. ”Napenda kuwahakikishia kuwa tupo pamoja katika kuomboleza kifo cha Mpendwa Marehemu Padri Evarist Mushin a kuwa msiba huu ni wa kwetu sote.”

Ameongeza Rais Kikwete: “Nimeligiza Jeshi la Polisi nchini kukusanya nguvu zake zote na maarifa yake yote kuhakikisha kuwa uchunguzi wa kina na wa haraka sana unafanyika ili kubaini mhusika ama wahusika na kuwakamata ili kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria.”

“Aidha, nimewaagiza Jeshi la Polisi washirikiane na vyombo vingine vya Usalama nchini na mashirika ya upepelezi ya nchi rafiki katika kufanya uchunguzi wa mauaji haya.”

Amesisitiza Rais Kikwete: “Nataka ukweli wake ujulikane ili kama kuna jambo lolote zaidi liweze kushughulikiwa na kukata mzizi wa fitina.”

Vile vile, Rais Kikwete amewataka waumini wa Kanisa katoliki na wananchi wote kuwa watulivu wakati Serikali inashughulikia suala hili na kuwa hakuna mtu wala watu ama kikundi cha watu kitachoruhusiwa kuvuruga amani ya nchi yetu.

Advertisements

30 thoughts on “Mauaji ya Padri Zanzibar, Raisi Kikwete atoa tamko

 1. Pingback: Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata! - Page 13

 2. Ni kweli kuwa hata torati ya musa katika biblia yetu takatifu iliamuru malipizi ya jino kwa jino…lakini haitupasi kufanya hivyo kwa sasa kwa kuwa hatuishi tena chini ya agano la kale(torati) bali tunaishi chini ya agano la amani la mungu yani agano jipya.Agano la kale limebaki kuwa msingi wetu wa tulikotoka ambapo israel ndiyo waliokuwa watumishi halisi wateule wa mambo ya torati ile mbele za mungu…hii ndiyomaana hata YEHOVA MUNGU kupitia nabii yeremia alitutabilia maneno haya sisi watu wa mataifa yote,soma(yeremia 31:31-34)…Maana ya agano jipya ni agano la amani kwa mataifa yote na yesu kristo ndiye kuhani mkuu na mjumbe wa agano jipya alietumwa na mungu,akiwa kama mrithi mkuu wa manabii wote wa kale na torati ile,soma(waebrania 1:1-3).Lengo la sheria zote kali za malipizi alizoandika musa katika torati akiongozwa na mungu…halikuwa kuumizana bali kufundisha jinsi HAKI inavyoweza kupatikana kwa gharama kubwa sana kama hatutamuamini na kumtegemea mungu,pia zilionyesha jinsi mwanadamu alivyokuwa mdhaifu wa mwili kutekeleza haki ya mungu kwa juhudi yake mwenyewe jambo ambalo lilizaa dhambi nyingi na mauti kwa kuumizana wenyewe kwa wenyewe.Mungu alitumia kipindi kile kichache kwa taifa moja teule la israeli ili ulimwengu mzima ujifunze mapungufu ya kibinadamu ya kiasili ili wote tuweze kuuelewa wokovu wake na makusudi yake kwa ujumla kuwa yeye mungu ni UPENDO!.hapa tunaona ndiyo maana mungu akatangaza hivi kuhusu yesu kristo atakapokuja ya kwamba MATAIFA YOTE WATAMTII.Soma(mwanzo 49:10)…(fahamu kuwa neno HATA katika biblia linamaana MPAKA…thibitisha kwenye (marko 9:9) (matendo 23:12)(marko 9:1) n.k.Sasa tuendelee……Mungu wetu tangu mwanzo kumbe alitukusudia tuzifuate sheria zake na maagizo yake yote ya torati na agano lote la kale katika ROHO kwa imani na matendo yake ya imani yani utiifu kwa mafundisho ya yesu,soma(warumi 8:4) na wala si kwa mwili na matendo yake ya sheria kwa sababu alitujua tangu mwanzo ya kuwa sisi si wakamilifu hivyo basi kwa asili yetu tusingeweza kufanya matendo ya haki mbele zake yeye aliye MTAKATIFU MNO MNO.soma(ayubu 25:4).Kwa hiyo yesu kristo ametuleta katika muafaka kamili wa sheria zote za mungu ambazo kwa ujumla wake ni UPENDO.Soma(mathayo 22:35-40).Ndiyomaana biblia hupenda kumuita yesu kristo kua ni KWELI = NENO LA MUNGU.Na yesu kristo mwenyewe aliifunua ile kweli ya mungu aliyotuahidi mungu mwenyewe kupitia nabii yeremia pale aliposema hivi: NINYI MNAABUDU MSICHOKIJUA SISI TUNAABUDU TUKIJUACHO KWA KUWA WOKOVU WATOKA KWA WAYAHUDI,LAKINI SAA INAKUJA NAYO SAA IPO AMBAYO WAABUDUO HALISI WATAMUABUDU BABA(MUNGU) KATIKA ROHO NA KWELI.soma(yohana 4:22-24).Kwa hiyo sisi wakristo yesu kristo ni HAKI YETU NA NJIA MBELE ZA MUNGU ILI MUNGU MWENYEZI ASITUHUKUMU MBELE ZAKE KWA KUWA YESU AMEKAA JUU YA SHERIA ILI KUIFUNUA KWELI YA MUNGU.Soma(zaburi 85:13).Tuwapende watu wote na kuihubiri injili….kwa sababu sisi ni taa na pasipo sisi watapotea gizani,soma(mathayo 5:11-16).Mbarikiwe wote.

 3. Poleni ndugu zangu Mungu yupo pamoja nasi cyo kwamba haoni bali ana makusudi nasi.yeye ndiyo mwamuzi naimani.

 4. Wakristo kukaa kimya cyo kwamba ni waoga, kwani hata kipimo cha uvumilivu kina mwisho wake. Mwenyez Mungu atusaidie.

 5. Msivunjike mioyo wapendwa wala msikate tamaa, zuieni sauti zenu msilie, wala macho yenu yasitoe machozi. Mliyenaye ni Mkuu kuliko walionaye. Nyie sio watoto yatima, mnaye Baba yenu wa mbinguni anayaangalia hayo yote. anayewachezea nyie, huwa ni sawa na kuchezea mboni yake ya jicho. Naungana na ndugu Helen M kusema Asante YESU kwa kuwa unatupenda, unatuhurumia, unatupigania.

 6. Pastor.
  Islam is not a religion, is a political military enterprise which is fighting to dominate and impose shariah law to the world, in the book of Daniel the anti christ will try to change ” the time and laws”, actually the messianic figure (imam mahdi) the muslims are waiting for is an anti christ he has all attributes of anti christ described in the bible example he will fight to destroy jewish people and he will make an alliance of nations to fight with israel, he will rule for seven years with justice and peace, and will utter blasphemous in Jerusalem. Wapendwa jueni hivi biblia inasema ” nani ni mpinga kristo? mpinga kristo ni yule anayekataa kwamba yesu si kristo wala mwana wa mungu” shetani alitengeneza uislamu kumpinga mungu… maana yote mazuri ya Jehova kwenye biblia allah kayapindishe kwa sababu zake ili amkufuru mungu. huyu ni shetani.
  Hawa watu shetani kawadanganye mpaka wanaabudu mawe… lile jiwe la maka saudi arabia wanasema lilikua jeupeeee lakini siku hizi limekua jeuuusi eti kwa sababu limefyonza zambi za watu wengi wanaokwenda kuliabudu, zamani walikua wanalizunguka uchi… siku hizi wanavaa nguo. wanamwabudu baal jamani…sisi katika kizazi hiki tumeona mambo yalioandikwa na manabii yakitimia.

 7. Hayo yote YESU ATAYAKOMESHA SIKU AKIRUDI, nA TUTASHANGLIA KUISHI NA BWANA, kilio na maumivu vitakua vimekoma. YESU atatangaza kwa ushindi mkuu kua “IMEKWISHA” nasi tutaingi katika makao ya amanikwa shangwe. NO MORE DEATH IN HEAVEN.

 8. kama alivyosema ndugu Mhina.

  ni kwamba vitabu vyao vinasema hivyo na wanasema wanatumia torati … na baadhi ya maandiko ya agano la kale.sijui biblia sana ila kwa uelewa wangu mdogo ndio hivyo.

  jamani hata pale mwenge stand, kwenye mihadhara tunawasikia wakitukashifu ila tunanyamaza tu.badala ya kufundishana kutenda mema wao kutwa ni kutushambulia kwa maneno kwenye maspika tunaitwa”MAKAFIRI” ….sijui maana yake ila sio neno zuri inavyosemekana.

  hii vita sio ya leo, ipo tangu mwanzo wa hiyo DINI
  ila kwa mauaji wamevuka mpaka sababu ilikuwa ni maneno tu sasa wamejiruhusu kufanya matendo. lakini hata sisi wakristo kuna tunaojiona wema kuliko wengine. HAKUNA ALIYE MWEMA KAMA MUNGU WETU! tuungane katika vita hii bila kujali tofauti za madhebebu yetu.

  Kuna Mstari kwenye biblia unaelezea nini maana ya dini ya kweli. unatufaa sana
  NI WAKATI WA KUOMBA HATA KAMA SIJUI KUOMBA SANA NAAMINI MANENO MACHACHE TU YALIYOTOKA KWENYE KINYWA CHENYE IMANI YATASAIDIA SANA

  Asante YESU kwa kuwa unatupenda, unatuhurumia, unatupigania.

 9. Poleni wapendwa wote mnaohusika moja kwa moja na msiba wa mwenzetu Padri Mushi Evarist. Ni mapema mno kusema kua mauaji ya mpendwa wetu yamefanywa na waislamu. Waislam na uislam ni kundi kubwa sana kuweza kujipanga na kufanya uovu huu! Tuiache serikali ifanye kazi yake hatimae iwaambie watanzania kinanani wametenda uhalifu huu na wamechukuliwa hatua gani.
  Endapo serikali itaendelea KUPUUZIA kama ilivyokua Mbagala na Geita, basi itawagarimu kwa njia nyingi. Hakika wapo waislam wengi tu wanaolaani kitendo hiki.
  Ni mapema mno kuhusisha mauaji haya na uhasama dhidi ya wakristo na waislam. Let us live by REALITY and NOT ASSUMPTION! Tusubiri uchunguzi na tusiruhusu DHAHANIA BALI UHALISIA. Wakristu na waislam ni ndugu.

 10. Hakika dunia imekwisha binadamu tumekua na roho mbaya zaidi ya ya wanyama!padri amekosa nini?

 11. Ndugu zangu,nawasihi,waangalieni wale WAFANYAO FITINA NA MAMBO YA KUKWAZA KINYUME CHA MAFUNDISHO TULIYOJIFUNZA MKAJIEPUSHE NAO,Kwasababu walio hivyo hawamtumikii Bwana wetu Yesu Kristo,bali MATUMBO YAO WENYEWE na kwa maneno laini na ya kujipendekeza waidanganya mioyo ya watu wanyofu.Maana utii wetu UMEWAFIKILIA WATU WOTE,Basi nafurahi kwa ajili yetu lakini nataka sisi kuwa WENYE HEKIMA KATIKA MAMBO MEMA NA WAJINGA KATIKA MAMBO MABAYA…NAYE MUNGU WA AMANI ATAMSETA SHETANI CHINI YA MIGUU YETU UPESI…!!!. Tafadhali ndugu mkristo soma ujumbe huu kwenye (warumi 16:17-20).Kwa kweli sisi wakristo tumebarikiwa kuwa na silaha zote za mungu katika biblia takatifu…cha msingi hapa ni kuushinda ulimwengu huu wa maovu ya mwili kwa roho wa mungu aliyendani yetu…ndiyo maana Biblia inatuambia hivi: BASI KAMA NI HIVYO NDUGU,TU WADENI,SI WA MWILI TUISHI KWA KUFUATA MAMBO YA MWILI KWA MAANA KAMA TUKIISHI KWA KUFUATA MAMBO YA MWILI MWATAKA KUFA BALI KAMA MKIYAFISHA MATENDO YA MWILI KWA ROHO MTAISHI KWA KUWA WOTE WANAOONGOZWA NA ROHO WA MUNGU,HAO NDIO WANA WA MUNGU.Soma(warumi 8:12-14)…Ndugu zangu wakristo hizi ndizo nyakati za kutoshindwa na ubaya bali kuushinda ubaya kwa wema.Lazima tuonyeshe tabia ya mungu aliotufunulia kupitia yesu kristo ambayo ni UPENDO,UVUMILIVU NA AMANI…Kwa sababu wafanyao vita wafanya vita na mungu…na tena hawana mahali pa kuzisitiri roho zao siku ya mwisho!!…tukiwa watoto wa mungu lazima tukubali kuwa kulipiza visasi ni kushindwa kwetu katika imani,hivyo basi inatupasa kuendelea kumuachia mungu ndugu zetu hawa kwa njia ya maombi na zaidi ni kuishinikiza serikali kuchukua hatua kwa wahusika kikamilifu.Tunaweza kusema na kuwatetea ndugu zetu waislamu kuwa sio wote wanaounga mkono na kufanya mambo haya na hii ni kweli kabisa…lakini ndugu zangu cha ajabu na kusikitisha ni kwamba wale wanaofanya maovu haya wametoa misingi hiyo ya imani katika dini hiyohiyo ya kiislamu kwa mfano…sheria ya malipizi ya jino kwa jino,kujitoa muhanga ili uende mbinguni nk.Ndiyo maana wao katika imani kumtoa mtu roho kwa ajili ya allah ni jambo la haki kabisa la kumpeleka mtu mbinguni tena wale waislamu wenye kukataa mambo hayo huonekana kama wasaliti katika dini hiyo…maana ndivyo sheria zao zinavyowaamuru kuamini.MBARIKIWE

 12. Mungu ni Mungu, tena vita vyake hakuna awezaye kuvishinda. hakuna awezaye kushindana na Mungu. Mungu huyu wa Israeli, anazo njia nyingi, tena hazihesabiki. hata hivyo hajachoka kuona yanayotokea kila iitwapo leo hapa Duniani. INJILI itahubiriwa katika pande zote za DUNIA. lakini ilipo miguu ya WAKRISTU hapo ametupa kutawala, ni mali yetu. VITA YA MAPANGA, BUNDUKI, SUMU, SIME, KUCHOMA MOTO NA NYINGINEZO haziwezi kushinda silaha na mbinu za MUNGU. hata hivyo anatuwazia mema, ni mawazo ya AMANI, wala siyo mabaya, asema BWANA. MUNGU ANATUONA TUNAVYOZIDI SANA KUWA WANYENYEKEVU MBELE ZAKE NA watu wake wote. sote tu wa MUNGU, ATAAMUA. tuzidi sana kuomba bila kuchoka. YANA MWISHO. JAWABU LA UPOLE…………….ZABURI 16:1-2, YOHANA 3:16.

 13. nimeishi zanzibar kuanzia 2000 hadi 2007, popote penye kanisa msikiti hujengwa karibu yake na kuwekewa spika ili kudhoofisha ukristo. mkakati wa waislam kutaka kupigana na wakristo umeanza siku nyingi sana. waislamu walianza na uwekaji wa kanda zinazokashifu wakristo katika misikiti na sehemu za mikusanyiko ya watu wengi kama katikati ya mji na sehemu za standi kuwaita wakristo makafiri. walipoona wakristo hawako tayari kupigana, wakaanza kuchoma makanisa ili kutafuta hasira za wakristo napo hatuko tayari kupigana. mwaka jana walipoona mtoto amekojolea msahafu wao wakachoma makanisa mengi dar na kigoma kilichofuata rais akaahidi kuwa atayajenga upya makanisa. sasa hivi wamekuja na mkakati wa kuua viongozi wa dini. ukiangalia kwa mtiririko utagundua kuwa nia ya waislam ni kutaka kupigana. ukifika zanzibar ni jambo la kawaida kuzomewa na kutukanwa kwa ajili ya ukristo wako. Je tuwe wanyonge hadi lini?

 14. The false bravery of muslims warriors, the wolf packs that kill innocent Christians will see the day when Padri Mushi come back at them and their cowardly faces are wrenched with pain ” before them the people writhe in pain; all faces are drained of color” ( joel 2:6). That’s right, you cowards that kill yourselves and others. Padri Mushi that you killed is coming back. As the Messiah returns, so will him. This time you will beg for your life while your teeth gnash with trembling and fear. What goes around will come around. God is just!

 15. Chiwango comment yako ya kwanza ni nzuri sana.

  Ubarikiwe!

  Ivi ni sawa mkristo kuuawa na mwabudu shetani wakati wowote namna hiyo, je hiyo ni sawa na walivyouawa mitume wa kristo na akina Stefano? kwamba shetani akiwatuma tu waislamu wakati wowote wauwe mkristo inawezekana tu bila mkristo kuzuia hilo?

  Nguvu ya Mungu tunayoitumia kufukuza mapepo na wachawi haiwezi kuwatia adabu hawa watu?

  Kuna siku watakufa waislamu wengi sana kwa namna isiyo ya kawaida, na hapo ndipo watakapojua Mungu wetu ni Jehova.

  Silaha zetu hazina nguvu katika roho tu ispokuwa zinaanzia katika roho hadi katika mwili zinaweza kufanya kazi. Subirin mtaona siku moja!

 16. Swala la mauaj ya viongoz lmekuwa km mchezo wa kuigza,coz weng wao wanaofanya mauaj hawachukuliw ha2a stahk,hvyo serkl na jamii kwa ujumla 2we makn na w2 wao,coz 2kfnya mchez TZ itakuwa km iraq!

 17. Kwa kweli Serikali inatakiwa kukemea tabai hiyo kwa kuchukua hatua kali dhidi ya hao wote waliofanya hivyo ili iwe fundisho kwa wengine wenye nia kama yao. Vinginevyo tabia hiyo itaendelea wakiamini kuwa hakuna kitakachofanyika dhidi yao. Zaidi wapendwa tuendelee kumuomba Mungu ili atuepushie balaa hizo.Amen!!

 18. Ndugu yangu helen,
  usemayo ni kweli, siku ile aliyochinjwa mchungaji kule Geita nalimsikia mtu moja akisema kwa furaha kuwa “wanalibeep jeshi la allah sisi tunafanya kweli”. mwisho wa kunukuu. Lakini Usiogpe helen mwishowe ni Mungu aitwaye JEHOVA ndiye atakayeshinda, kwetu sisi hayo ni mapito tu. Kumbuka kuwa wakati MUNGU wetu atakapokuwa anatufuta machozi wao watakua wanalia na kusaga meno katika lile ziwa la moto. Ndiyo maana tunasisitiza kuwa wajibu wetu kwa sasa ni kuhakikisha kuwa majina yetu yameandikwa katika kitabu cha uzima cha mwanakondoo ili kwa majira yake tupate kufarijiwa na MUNGU wetu aliye hai. maana isiwe duniani tunaonewa na kule mbinguni majina yetu hayajaandikwa katika kitabu cha uzima cha mwanakondoo.

 19. this is too much…imeandikwa usilipe ubaya kwa ubaya bali lipa ubaya kwa wema..lakini sasa naona mioyo yetu inaanza kuelemewa!watu wanasubiri ibada ianze wanaambulia msiba.halafu tunaambiwa “tupo pamoja kwenye kipindi hiki kigumu”seriuosly?!mangapi yanapita tu tunayaona au kwa kuwa ni wakristo wanyenyekevu tusiojua kuandamana na kujilipua? MUNGU wetu uliye hai tupiganie na sisi..

  jamani tukubali hawa wenzetu ndivyo wanavyofundishwa kwenye nyumba zao za ibada hivyo kutafuta muuaji sio solution!

  kuna wengine wamefurahia hiki kifo nimeona wanakejeli eti amsalimie nyerere na kwamba finally adui wa ALLAH ameuwawa?!who is he to judge?

 20. Duniani mnayo dhiki lakini jipeni moyo maana mimi nimeushinda ulimwengu……….,msihofu ulimwengu ukiwachukia kwani ulinichukia mimi kwanza…….., mimi nawatuma kama kondoo katikati ya mbwa mwitu wakali. watawachukua katika mabaraza yao na baadhi yenu watawaua kwa ajili ya jina langu. Hayo ni maneno ya kututia nguvu na kutuongezea ujasiri na matumaini ya Bwana wetu Yesu Kristo. Pia tusisahau kuwa vita vyetu si juu ya damu na nyama bali ni juu ya wakuu wa giza hili, juu ya falme na mamlaka, majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Sisi hatuwezi kuchukua mapanga na kuingia mtaani kwani hao uwaonao sio ndio maadui wetu. Adui kajificha ndani yao haonekani kwa macho haya. Huu ni wakati wa kumjua Bwana na mwokozi wetu Yesu kristo kiukweli, Ni wakati wa kujitenga na kila aina ya uovu. Ni wakati wa kuhakikisha kuwa tunaye roho wa Kristo ndani yetu ili tuweze kupambana kwa kutumia silaha zote za MUNGU. Maana silaha zetu zina uweza katika MUNGU za kuangusha ngome na mamlaka ya yule adui. Huu ni wakati wa kufunga na kuomba katika roho. Ndugu zangu wakristo muonapo mambo hayo yanashamiri wajibu wetu ni kuhakikisha kuwa majina yetu yameandikwa katika kitabu cha uzima cha mwana kondoo. Maana ajapo YESU KRISTO anakuja kupambana nao “physicaly” Poleni sana kwa msiba wahusika wote. Pia serikali kwa upande wake ijizatiti kuhakikisha kuwa inadhibiti mambo haya kwa nguvu zake zote ili maisha ya watu yasipote bila sababu za msingi.

 21. Kumwaga damu ya mtu ni jambo baya sana ambalo linaambatana na laana kubwa kwa mtu na kwa ardhi. tunaona mfano wa kaini, Laana walioipata hao waliomuua Padri mtumishi wa Mungu aliye hai itakuwa juu yao na watoto wao, na waislamu wataendelea kuteseka kuwa masikini endapo wataendelea na kumwaga damu za watumishi wa Mungu aliyehai.
  Ombi kwa wakristo na sisi tusilipize kisasi kwa kumwaga damu ili na sisi tusije tukashiki hii laana itakuyopata waislamu

 22. kwa kweli huu ni mwisho. wakristu tushikamane tufanye maombi and soon Mungu atajibu.

 23. PM
  Punguza munkari, when Jesus comes for second time he will settle all of these, he is going to fight the Muslims and Muslim nations physically by himself some segment in Lebanon, Egypt, edom ( Arabia) Libya Sudan will be destroyed by sword after rupture and the saints who were slain by pagans worshippers will ask Jesus ” when are you gonna avenge our blood lord” Jesus will tell them bado kidogo subirini” patamu hapo kwa hiyo vuta subira kidogo PM.

 24. Sitaki kuamini kuwa ni uislamu ndio unafanya haya yote bali yawezekana ni kikundi cha wahuni fulani!Mimi nadhani ukimya wa wakristo usitafsiriwe kama woga kwani hata kipimo cha uvumilivu kina mipaka yake.Nawasihi ndugu zanguni tuendelee tu kumuomba huyu mungu aliye hai siku moja atajibu na atakapojibu waabishwe wote watendao maovu. NAISIHI SERIKALI KUKAA CHINI NA KUFIKIRIA HATIMA YA HAYA YOTE NINI? Na sio kila siku tunasali,Bwana ametoa,Bwana ametwaa,jina la Bwana liidimiwe.

 25. Hadi lini tutaambiwa tukae kwa amani na utulivu? wangekuwa waslamu ameuwawa kiongozi wao kama hawa viongozi wetu wa dini ingekuwaje? Hey wakristo tuamke kwa maombi, hatuna silaha yoyote na wala hatujafundishwa katika hilo. Silaha ni maombi . Wanapiga mchungaji kondoo tutaenda wapi?

 26. Jaman tumlilie Mungu ili atuepushe na chokochoko za kiiman. Vinginevyo tutaiachia dunia ukiwa.

 27. Haitakuwa kila siku tunasali,Bwana ametoa,Bwana ametwaa,jina la Bwana liidimiwe.TUKAE NA NUFIKIRIE HATIMA YAKE NI NINI ?

 28. The god of fortress is what these people are worshiping, the devil has a choke on their neck… There is no clear path for Muslims to go to heaven except they kill themselves and kill others who does not believe what they believe . So they atone for their own sins but Lord Jesus did die for their sins too but they deny him.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s