Je, maombi gani Mungu anayakubali?

maombi

Shalom Wanapendwa.

Binafsi huwa napata changamoto kubwa sana kwa kila aitwaye mkristo wa leo ninapomuona akiwa kaatika ibada. Ibada zetu hazifanani saaana na zile za watu wa agano la kale na agano jipya. Why?? Mara nyingi sana ninaposoma Biblia, Biblia huniambia kuwa, walimwabudu Mungu kwa kupiga magoti chini. Na katika sehemu nyingi ndani ya Biblia, kila aliyetaka kumsujudia/kumwabudu Mungu, alipiga magoti chini. Hivi leo mimi ninapoangalia kwenye madhehebu yetu ya kikristo, jambo hili hufanyika mara moja tu  kama si mara mbili tu kwa siku nzima ya ibada. Maombi mengine, utaona watu wamekaa au wamesimama ama wanatembeatembea huko na kule. Je, maombi haya ya kusimama ua kutembeatembea, japo ni ya dhati kabisa, Mungu huwa nayakubali pia?? Je kuna aya za kimaandiko zinazo-support maombi ya namna hii?? au tumeleta style zetu wenyewe??

Ni changamoto tu nimeileta, maana napata taabu kweli moyoni nikiwaza juu ya hili;

Zifuatazoni baadhi ya aya zinazoonesha watu wa zamani walivyomwabudu Mungu kwa kupiga magoti chini.

Danieli 6:10 Hata Danieli, alipojua ya kuwa yale maandiko yamekwisha kutiwa sahihi, akaingia nyumbani mwake, (na madirisha katika chumba chake yalikuwa yamefunguliwa kukabili Yerusalemu;) akapiga magoti mara tatu kila siku, akasali, akashukuru mbele za Mungu wake, kama alivyokuwa akifanya tokea hapo.

Marko 15:19 Wakampiga mwanzi wa kichwa, wakamtemea mate, wakapiga magoti, wakamsujudia.

Luka 22:41 Mwenyewe akajitenga nao kama kiasi cha kutupa jiwe, akapiga magoti akaomba,

Matendo ya Mitume 7:60 Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake.

Matendo ya Mitume 9:40 Petro akawatoa nje wote, akapiga magoti, akaomba, kisha akaelekea yule maiti, akanena, Tabitha, ondoka. Naye akafumbua macho yake, na alipomwona Petro akajiinua, akaketi.

Matendo ya Mitume 20:36 Alipokwisha kunena haya akapiga magoti, akaomba pamoja nao wote.

Nzala

Advertisements

4 thoughts on “Je, maombi gani Mungu anayakubali?

  1. kwa majina naitwa joseph kiswili kutoka nairobi,naomba kuchangia maadiko yasema nini kuhusu maombi’ hatujui jinsi ipasavyo kuomba lakini ROHO MTAKATIFU aliye ndani yatu anatuombea kwa kuungua ilamradi tuu meomba ROHO MTAKATIFU atakamilisha.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s