Benny Hinn Aoa tena

mr+mrs

Mhubiri wa kimataifa na Mchungaji Benn Hinn amemuoa aliyekuwa mke wake Suzanne,  Jumapili ya tarehe 3 March 2013.

Mchungaji Hinn na mkewe waliachana mwaka 2010. Benny Hinn aliwahi kukiri kwamba “…..mwisho wa ndoa yetu uliniamsha, kama mtumishi wa Mungu na kama mwanadamu, siwezi kufanya kazi vizuri bila mke wangu na familia yangu

Benny Hinn amewashukuru washirika wake kwa maombi mpaka ameweza kuwa na mke wake tena.

Ni jambo jema la kumshukuru Mungu.

Advertisements

6 thoughts on “Benny Hinn Aoa tena

  1. Hongera sana. Umefanya uamuzi mzuri maana alichokiunganisha Mungu kamwe mwanadamu hawezi kukitenganisha.Mungu awabariki sana!!

  2. Glory be to God kwa sababu lazima watumishi wajue nafasi halisi ya wake zao(mwili mmoja) kama Mungu alivyopenda iwe hivyo.

  3. MUNGU ANA BAKI MUNGU APEWE SIFA ATA WENGINE MUNGU ATEMBELEHE NDOA ENYE IMEFUJIKA IRUDI TENA KWA UWEZO WA MUNGU SILAHA ZETU NI KUOMBA TOBA NA KUOMBOLEZA NA KUFUJINGA MOYO MBELE YA MUNGU NA ATATU JIBU AMINA

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s