Siri ya Mafanikio ya kudumu – Pastor Donis na Nnunu Nkone

nkones

“Mafanikio yoyote ambayo hayapitii kwa Mungu hayawezi kudumu na yana uchungu ndani yake, watu wanaweza kukuona umefanikiwa nje lakini ndani yako unalia, ndani yako una huzuni huwezi kulala vizuri,  leo hii jifunze mafanikio mapya kupitia ndani ya Mungu aliye Hai”

Endelea kuangalia mafundisho haya ya KISWAHILI “SIRI YA MAFANIKIO YA KUDUMU”

–Pastor Donis na Nnunu Nkone

Advertisements

3 thoughts on “Siri ya Mafanikio ya kudumu – Pastor Donis na Nnunu Nkone

  1. Imeandikwa ktk Yeremia 3:15. Nami nitawapa ninyi wachungaji wanipendezao moyo wangu, watakaowalisha kwa maarifa na fahamu. Natamka ktk jina la Yesu kuwa hao wachungaji wanaosemwa ndiyo hawa , nimebarikiwa sana niliposikiliza mahubiri haya, ya mafanikio ya kudumu ,na nimekuwa nikibarikiwa sana pia na maombi na message wanazoweka ktk facebook yao. 1 wakolintho 1:4 -7. Namshukru Mungu kwa ajiri yao, kwa sababu ya neema ya Mungu waliyopewa ktk Kristo Yesu, kwa kuwa ktk kila jambo mlitajirishwa ktk yeye. hata hamkupungukiwa na kalama yoyote. Ninawapenda watumishi hawa na ninamuomba Mungu azidi kutenda kazi kupitia watumishi wake hawa.

  2. nawapenda hawa watumishi wanavyohubiri, Mungu awabariki sana kwa manenio ya uzima

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s