Upo wakati Yesu atafufua vilivyokufa kwenye maisha yako

Emmanuel-Mgaya

Kimya cha Mungu juu ya yale unayoomba kisikuhuzunishe wala kukuvunja moyo. Subiri kwa imani, matumaini na kuomba. Kumbuka dada zake Lazaro walimuomba Bwana amponye ndugu yao Lazaro ambaye alikuwa mgonjwa. Yesu hakwenda muda waliotaka wao mpaka ndugu yao akafa, wakamzika. Baada ya siku nne ndipo Bwana Yesu akatokea na kumfufua Lazaro katika wafu. Na wewe ndugu yangu upo wakati atakuja kufufua vyote vinavyoonekana kama vimekufa maishani mwako. Amani ya Bwana iwe nawe.

–Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji

Picha na Filamucenter
Advertisements

5 thoughts on “Upo wakati Yesu atafufua vilivyokufa kwenye maisha yako

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s