Papa mpya ni Jorge Mario Bergoglio wa Argentina

pope.

Hatimaye baada ya maelfu ya watu kusubiri kwa siku mbili kumuona Papa mpya ameonekana, Jumla ya makardinali 115 walishiriki kuchagua Kardinali kutoka Argentina, Jorge Mario Bergoglio, ambaye ni kiongozi mkubwa wa kanisa la katoliki kutoka Amerika ya Kusini.

Papa mpya, mwenye miaka 76, ataitwa Francis, ni papa wa 266 wa Kanisa Katoliki.

Advertisements

5 thoughts on “Papa mpya ni Jorge Mario Bergoglio wa Argentina

  1. Hongera sana Pope Francis. Tunakuombea na kukutakia kazi njema. Mungu akulinde na kukuongoza ili uifanye kazi yake sawasawa na mapenzi yake. Ameni.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s