Nguvu ya ulimi

CK-BURKINA42

Biblia Takatifu inasema kuwa “Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; nao waupendao watakula matunda yake.”

Ni kwa nini wana wa Mungu wanatumia ndimi zao kujiumbia mabaya, kushindwa, umaskini, kutokufanikiwa na mengine wasiyoyapenda ilhali wangaliweza kutumia ndimi hizohizo kutabiri, kukiri au kuumba kwa ajili ya mambo mazuri na ya mafanikio.

Je, inawezekana ukakutana na jambo gumu ukaliambia “wewe tatizo nakuambia utahama sasa!”?

Emmanuel

Advertisements

3 thoughts on “Nguvu ya ulimi

 1. Asante sana mtumishi kwa kutufundisha na kutukumbusha kutumia ndimi zetu vizuri. Na siku zote mdomo huumba yaaani kila utamkacho hufanyika. Hivyo, wapendwa wenzangu tuzidi kumuomba Mungu ili atusaidie kutumia ndimi zetu kujinenena mazuri na yenye mafanikio kwetu na kwa wenzetu. Amina.

 2. nimefurahi kunikumbusha jinsi ya kutumia ulimi wangu kwa UTUKUFU WA MUNGU. tunastahili kumtukuza MUNG daima kwa sala na mtendo yetu. yatupasa kumtumikia MUNGU kwa viungo vyetu vyote; hakika kikusababishiacho kutenda dhambi, king’oe uingie MBINGUNI UKIWA HUNA HICHO KIKUZUIACHO.

  kwa ulimi; tunaomba, tunaimba, tunafifu, tunashukru, tunalaumu, tunalaani, tunabariki, tunatukana, tunaabudu. haya yote ni mawasiliano. kama mabaya basi, tunatenda dhambi. kama mazuri basi tunatenda mapenzi ya MUNGU. kumbuka yote haya tunayafanya kwa wenzetu (binadamu). kwa MUNGU pia twafanya japo si yote. wenye hofu yake (MUNGU) hawafanyi kwake moja kwa moja ila bila kujua, hufanya kwa wanadamu. hapo wamtenda MUNGU. KUMBUKA; siku ya mwisho atatenga makundi mawili, kushoto na kulia; mbuzi na kondoo. hapo lolote ulilotenda, umemtendea yeye (MUNGU). LAKINI, ushupavu wa ulimi kuondoa magumu, wewe mbele za MUNGU UKOJE? hakuna hata neno moja asilo lisikia MUNGU. YEYE NI MWENYEZI BWANA. MASIKIO YAKE, MACHO YAKE HAYALALI WALA HAYASINZII. SIYO KIPOFU WA KIZIWI. ANAKUONA, ANAKUSIKIA. KIKUBWA; JE, IMANI YAKO UMEWEKA KWA NANI? WAPI?
  KUMBUKA PIA HUFANYA NJIA PASIPO NA NJIA (UKIPENDA LAKINI.) YER33:3. ANAKUSUBIRI UMWITE. USIHOFU UMETENDA NINI, MANGAPI NA MARANGAPI! ILA ANASEMA; USITENDE DHAMBI TENA.
  kwenye umasikini na kwingineko unakoona wewe huna ujanja, hapo ndo anataka umwite, akiitika, na mipango anakupa. usimtende mwenziyo dhambi. fanya kazi ya MUNGU, FANYA KAZI KWA MIKONO NA KARAMA ULIZOPEWA. BARIKIWA. ZAB 16

  HAKIKA ulimi utakupeleka mbinguni. hicho ni kiungo kimoja. bado na vingine. chunga ulimi wako, usikusababishie kutenda dhambi tenda.

 3. hakuna mtu anaependa mabaya na ndiomaana mtu anapopata tatizo tu humkumbuka Mungu, nikwamba shetani humsahaulisha mwanadamu asimkumbuke Mungu ndiomaana mtu anapomuona mwenzake amefanikiwa huanza kutoa lawama kwa Mungu oooh kwanini mimi tu! kwanni Mungu hunisikilizi na mimi na kusahau kuwa hakuna siku anamuomba Mungu, tukumbuke kwamba Mungu anasema kuwa Ombeni nanyi mtapata tafuteni nanyi mtaona hapohapo anasema nijaribuni

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s