Tusichoke kufanya Injili.

wakristo

Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu, ninapenda kuwashauri watu wote tusichoke kumtangaza Bwana Yesu, tusiache kufanya kazi ya Mungu kwa bidii na moyo. Hali si nzuri kwenye nchi yetu, wakristo tusiposimama Imara nchi haitasimama. Tuamue mioyoni mwetu kufanya mabadiliko katika nchi .

Tuwaombee watumishi wa Mungu mbali mbali nchini, wasichoke na kukatishwa tamaa, makanisa yaongezeke na Injili ya kweli ikahubiriwe.

Tuombeane ndugu zangu.

Neema Kurasa

Advertisements

One thought on “Tusichoke kufanya Injili.

  1. Ni kweli kabisa! Nuru ya INJILI ndiyo itaokoa watu na kuweka AMANI katika nchi kwa kuwa Yesu Kristo ndiyo mfalme wa AMANI!

    Mungu akubariki dada kwa ujumbe muhimu sana wa INJILI!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s