Amani kati ya Waislamu na Wakristo!

Muslim-Christian-Nigeria

Migogoro mingi ya KIDINI ni ile inayotokea kati ya UISLAM vs UKRISTO. Je, Inawezekana kweli kuwa na Amani ya kudumu kati ya Ukristo na Uislam?

Advertisements

3 thoughts on “Amani kati ya Waislamu na Wakristo!

 1. Bwana Yesu asifiwe,
  Wapendwa Waefeso 6:12 “Kushindana kwetu sisi si juu ya nyama bali ni juu ya falme na mamlaka,juu ya wakuu wa giza hili,juu ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”.Hivyo waaminio vita vyetu sio nani ni mpinga kristo bali ni hizo roho zinazofanya kazi kwa hao wapinga kristo.Wakristo pia tunahitajika kuujua uislam ili tuweze kuwahubiria na waokoke,tusiwachukilie kama ni adui zetu,hata ndani ya wakristo hasa kwenye makanisa kongwe Katoliki.KKKT,Anglikan,Moravian kuna upotofu mkubwa kuhusu kuokoka na maisha ya wokovu tushukuru kuja kwa makanisa ya Pentekosti,TAG huduma kadhaa za wainjilisti wabeba maono ya wokovu.Sasa kama wakristo wenyewe tunapingana wenyewe kwa wenyewe kuhusu ukweli wa maisha ya wokovu itakuwaje watu wa dini zingine kama islam,budha,yoga n.k Yesu kabla ya kupaa kwenda mbinguni aliwaasia wale mitume 11 waliosalia kwamba waende ulimwenguni kote wakaihubri injili kwa kila kiumbe Marko 16:15 inamaana hata kwa waislamu tunahitajika kuwahubiria injili.Waislamu wanajitahdi sana kusoma biblia ili waweze kutushinda na kutusalimisha je sisi tunafanya jitihada za kuujua usilamu zaidi ya kuwaita nyumba ndogo hapo tunawahubiria hau na sisi tunawakashifu kama na wao wanavyotuita makafir.Ukiangalia maana ya Islam maana yake ni kuwa karibu na Mungu.Tunapotofautiana nao ni pale wakristo tunasema huwezi kuwa karibu na Mungu mpaka mtu asafishwe dhambi kwa kumkiri Yesu na kusamehewa dhambi wao Waislamu werevu sio hao alkaeda wao wanasema kama mtu tangu kuzaliwa au ukiamua kutokutenda dhambi kwa kujitahidi kwa kufunga na sala utamuona Mungu sio lazima umkiri Yesu wakati Waamini wanaamini bila ya msaaa wa Roho mtakatifu na kumpokea Yesu kama mwokozi wa maisha ya hapa ya kidunia iliye na shetani na wasaidizi wake inakuwa ngumu kwenda kwa Baba Mungu mbinguni HAPO NDIPO ILIPO TOFAUTI YA WAISLAMU NA WAKRISTO.Wakristo wanaangamia kwa kukosa maarifa . Sasa tuangalie Wakolosai 3:1-2 ..” basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo aliko ameketi mkono wa kuume wa Mungu,yafikirini yaliyo juu,siyo yaliyo katika nchi” .Yanayotokea sasa katika nchi neno linasema tusiyaangalie tuangalie Yesu aliye juu mbinguni anatutaka tuishi vipi na neno linasemaje Wakolosai 1:10 ..’mwenende kama ulivyo wajibu wenu kwa Bwana mkipendeza kabisa mkizaa matunda kwa kila kazi njema na kuzidi katika maarifa ya Mungu. Wakolosai 3:14 “zaidi ya yote jivikeni upendo ndio kifungo cha ukamilifu .Je tunawapenda maadui zetu je tunawaombea tikiwaombea fikra zao zibadilke Mimi binafsi nimeshawahi kuwaoongoza sala ya toba waislamu kama 3 maeneo tofauti hapa Dar ni baada ya kuvinunua vitabu vinavyouzwa na mashehe kule posta na kariakoo vilivyoandikwa kwa kiiswahili nilikutana na kitabu kinachooelezea wao wanapinga nini katika biblia pia nilifanikiwa kukinunua kitabu kwenye mkutano mmoja wa injili Jangwani kilichosema jinsi ya kuwahubiria waislamu ndipo nikagundua mambo kadhaa yanayonisaidia mpaka leo kuongea na waisalmu na kuwahubiria injili na Mungu huwa namuona kwa njia ya kipekee.
  Kwanza wakristo wanatakiwa kutambua wao Mungu ni wakuabudiwa sana si wa kumfanya wamazoea kama wakristo wengi wanavyofanya ndio maana watoto wakiislamu wakienda madrasa wanachapwa viboko ili wajue Quran kwa wakristo hakuna hiyo dini inachukuliwa ni hiari na sio lazima . 2 Muislamu anaamini Mungu ni mmoja sio vipande vipande kumgawa Mungu kwa Muislamu ni kumshusha hadhi Mungu na wakristo wengi wanashindwa kuwaelimisha neno linasemaje kuhusu utatu wa Mungu na hapo ndipo Muislamu anamwta mkristo kafir wakati unaweza kumuulezea vizuri musilamu maana ya utatu na kukuelewa mfano ninaotumia sana niliojifunza mwambie Muislamu kwamba mfano wa UTATU ni kama vile Mtu mmoja akawa anatumika sehemu tatu tofauti anaweza kuwa ofisini kama mesenja akitoka kazini anaweza kuwa dukani kwake akawa muuzaji wa duka na akurudi nyumbani akawa baba wa familia hapo Muislamu wa kweli atakuelewa utakuwa hujamgawa Mungu .Hata Yesu alipokuwa Duniani ndio maana aliweza kutailiwa ili jamii ile iliyoamani tohara iweze kumwelewa na aliweza kukaa na wenye dhambi na kuwapa neno Wakristo tumepungukiwa na MAARIFA YA MUNGU NDIO MAANA SHETANI ANALITESA KANISA LA MUNGU .TUACHE KUFUATA MAFUNDISHO YA MADANGANYO ,Wakolosai 2:8 ..”angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu wala si kwa jinsi ya kristo”. Mathayo 9-10 ..” heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki maana ufalme wa Mungu ni wao .Namalizia naomba wote tusome na kuyatafakazi Yesu alivyotufunisha kuomba Mt 6:9-13.
  Mbarikiwe, Shalom Shalom

 2. Nawaomba tusimame ktk neno la Luka 1:37, na mwanzo 18:14, na matayo 19:26, na Yeremia 32:17,27. maandiko haya yote yanasema kuwa hakuna neno gumu la kumshinda Mungu , maana yeye ni Mungu wa wote wenye mwili,(hata wanaoleta vurugu) na anasema kuwa tumuite naye atauitikia atatuonyesha mambo makubwa magumu tusiyoyajua Yeremia 33:3. Wapendwa tuombe kwa Bwana yeye ambaye ndiye mfalme wa amani hili aingilie kati mgogoro huu , na amani ipatikane, yeye anajua ni jinsi gani anaweza kutegua kitendawili hiki, yeye ndiye amani yetu , na alisema amani yangu yangu nawaachieni,amani yangu nawapa , niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo, Yohana 14:27, ni ktk Yesu peke yake amani inaweza kurejea, hakuna mwanadamu yeyote anayeweza kuwashauri au kuwashawishi hawa waislamu wakae na wakristo kwa amani, Ni Mungu tu tena yeye peke yake anaweza kushughulika na habari hii, kwa kuwa anatuagiza ktk neno lake kuwa tumutwishe fadhaa zetu zote kwa maana yeye anajishughulisha sana kwa mambo yetu, 1Petro 5:6-7. na hili tumutwishe atajishughulisha nalo. Tumtazame Bwana Yesu mwanzilishi na mkamilishi wa imani yetu Waebrania 12;2. tuombe ndugu zangu, tuombe bila kukoma , tuombe kwa Mungu wetu hili amani ambayo ilimfanya Yesu aje duniani ndiyo itawale Tanzania na dunia nzima , . imeandikwa Luka 2:14. kuwa atukuzwe Mungu juu mbinguni na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia. Nawapenda watanzania, nawapenda watu wa Mungu.shauri la Bwana ndilo litakalosimama zaburi 33:11, Kumbuka kuwa Bwana utangua mashauri ya wadanganyifu mikono yao isipate kutimiza makusudi yao Ayubu 5:12.. Mbarikiwe .

 3. Shalom wapendwa
  Ningependa sana kuwe na Amani Kati yetu na waislamu… Tatizo kubwa wenzetu wanaamini sisi ni makafiri tunaotakiwa tusilimu hata kwa nguvu, lakini kikubwa zaidi tunatakiwa tujue kwamba uislamu ni dini ambayo mpinga Kristo ataitumia kabla na baada ya kutangaza utawala wake,,, tuko karibu sana kushuhudia shirikisho la mataifa ya kiislamu yakitangaza kuanzishwa kwa caliphate na kiongozi wao Mahdi ( mpinga kristo) sasa kuwa na Amani na wafuasi wa shetani ni lazima ukubali kuikana Imani yako… La sivyo hakuna Amani , jambo ambalo Mimi siwezi kufanya hata Kama inabidi nipoteze uhai wangu hapa duniani, najua tumaini nililonalo kwa yesu.

  Kwa ufupi wakristo ni Watu ambao wanataka sana kuwa na Amani na waislamu lakini mafundisho ya yule nabii wa uongo yanawafundisha kuwachukia wafuasi wa yesu.

  Tatizo la waislamu na wakristo sio political problem, there is solution in every political problem. Kama ilivyo kuwa South Africa Kati ya makaburu na waafrika, lakini Amani ya Tanzania inatishiwa na religion doctrine inayo waamrisha Watu kupigana jihad kwa ajili ya dini ya allah mpaka wayahudi na wakristo wasalimu amri… Wewe unafikiri al shabab, al Qaeda, Taliban na boko haram ni akina nani? Hawa ndo waislamu walio safi mbele ya Allah kwa sababu wanatii mafundisho yake,,, Hawa wasiopigana sio waislamu halisi kwa sababu wana kwenda kinyume na Allah, sheikh Osama ni mtu anaye heshimika sana katika dunia ya kiislamu, hata Hawa waislamu majirani na tunaofanya nao kazi makazini wakiwa mbele ya wakristo wanamponda Osama lakini wakiwa wao kwa wao haaaaa Osama ni Shujaa wa kiislamu.

  Najua wakristo mnataka Amani lakini adui yetu ni shetani. Tatizo ni roho chafu za shetani. Islam is a spirit of anti Christ ….

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s