Endelea kuomba kwa ajili ya Tanzania na mipaka yake!!

Arusha

Wapendwa, tusichoke kumsihi Mungu juu ya nchi yetu, na tena tuongeze bidii, mbali na mapito mbali mbali ambayo nchi inapitia, vifo vya watu wasiokuwa na hatia, kesi na masuala ugaidi, siasa chafu, rushwa, mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi, ushirikina nk tuombe Rehema kwa ajili ya masuala hayo. Na hofu ya Mungu ikatande kwenye nchi na mipaka yake, wanaohusika kufanya uharibifu wakaaibike, Mungu aingilie kati na kutuokoa.

Endelea kuomba, Mungu anaona, Anasikia. Atafanya

Advertisements

4 thoughts on “Endelea kuomba kwa ajili ya Tanzania na mipaka yake!!

  1. UNAJUA PAMOJA MAOMBI,DHAMBI AU SHERIA ZILIANZA AMA KUVUNJWA TOKA EDEN ,ALIPOWEKA MKUU ,MWENYENZI MUNGU.NAWEZA ASILI,HISTORIA JAPO MBAYA AU NZURI LAZIMA IJIRUDIE. GOD IN CONTROL!AMEN.

  2. Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu , msaada tele utakaaonekana tele wakati wa mateso. Zaburi 46:1. Bwana wa majeshi yu pamoja nasi Mungu wa Yakobo ni ngome yetu Zaburi 46:11, Ukaniite wakati wa mateso nitakuokoa nawe utanitukuza. Zaburi 50:15.Tunakuita baba uliye kimbilio letu, Tunakuita baba kwa ajiri ya Tanzania na mipaka yake, tunakuita baba wewe usikiaye kuomba sawa na zaburi 65:2a, tunakuita uturehemu, utupelekee msaada kutoka patakatifu pako, sawa na zaburi 20:4. Wewe ambaye sikio lako sio zito ukasikie kilio na maombi tunayoomba kwa ajiri ya Tanzania na mipaka yake,na dunia nzima , kwa ajiri ya wanaoteswa, kwa ajiri ya wale wanaokufa bila sababu . Baba ulisema ktk neno lako kuwa lolote tutakaloomba kwa jina la Yesu tutapewa Yohana 15:7 na Yohana 14;13, nasi tunaomba ktk jina la Yesu utusamehee dhambi zetu ktk jina la Yesu, ufute kabisa hatia zetu, utusamehe maovu yetu baba na utuponye na maafa ya kila namna ktk jina la Yesu. Amani , upendo na utulivu vitawale ktk jina la Yesu. asante baba kusikia na kujibu. ktk jina la Yesu Amina.

  3. ni kweli tusichoke kuomba kwa ajili ya nchi yetu kwa maana maombi ni ya muhimu sana na kama tusingekuwa tunaomba huenda madhara yangekuwa makubwa zaidi ya haya.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s