Nina tatizo la mizimu ya uganga!!

Yesu tu

Nina tatizo la mizimu ya uganga inataka niache kumwimbia Mungu nifanye kazi ya uchawi, inanisumbua naumwa nimekaribia kupooza naomba msaada wa maombi.

Patrick

Advertisements

9 thoughts on “Nina tatizo la mizimu ya uganga!!

 1. Ndugu yangu ukimwamini Yesu Kristo tatizo lakelaksumbuliwa na mizimu litakwisha, Elewa kuwa Damu ya Yesu yatosha kuwaponya watu na kuwafunguwa waliofungwa, Apostle Emanuel

 2. pole mtumishi wa MUNGU ALIYE HAI MBINGUNI. HAKIKA NAWE U HAI. NGUVU YA MUNGU ILIYO NDANI YAKO NI KUBWA TENA YENYE USHINDI, ISIYOTINGISHIKA kuliko changamoto hizo zinazokuzunguka kwa njia ya vitisho vya mwovu shetani.
  AMINI, U-MWENYE NGUVU KULIKO HIVYO VITISHO. AMINI HUTAPUNGUKIWA. ZABURI 23. TENA KWAKO HAKUNA USIKU WALA GIZA. NI MCHANA NA MWANGA TELE DAIMA. KATAA SHETANI ASIJIFICHE NDANI YAKO. ZABURI 91. YOHANA 3:16, WAFILIPI 4:13.
  U MSHINDI WEWE. UPONE KWA JINA LA YESU….
  AMEBAKI MUNGU TU AWEZAYE KUKUSHINDIA, NA AKUSHINDIE WEWE, NA NYUMBA YAKO YOTE, NA UKOO WAKO WOTE, NA KAZI ZAKO ZOTE, NA MAWAZO YAKO YOTE, NA TAABU ZAKO ZOTE, NA UJASIRI WAKO WOTE, NA KILA ULIFANYALO WEWE. AMINA. ZABURI 16:1-2. WEMA WA MUNGU UKUZUNGUKE DAIMA.

 3. Zab.18:30 Mungu, njia yake ni kamilifu na ahadi ya Bwana imehakikishwa. Hivyo, mpendwa usiopoe wala kutishwa na hao mawakala wa shetani. Endelea kuwa na msimamo huku ukimwomba Mungu ambaye ndiye pekee asiyeshindwa na jambo lolote tena ukumtumainia yeye kamwe hatakupungia.
  Pole. Nasi tunaendelea kukuombea ili uweze kushinda. Amen.

 4. Kaka Patrick kwa Yesu hakuna linalomshinda
  naomba uwasiliana na huyu mtumishi atakusaidia
  0713403882!!

 5. Mimi nilikuwa nimelogwa yesu amenifungua pamoja nakunitapisha uchafu wote niliokuwa nimelishwa kwenye ndoto.kwahiyo usiogope hakuna lisilowezekana kwa Bwana Yesu

 6. Mpendwa Patrick. Pole sana kwa Yote. Nimesoma ujumbe wako na nimeona unahitaji fast track ya uponyaji kwa njia ya Yesu Kristu mwana wa Mungu aliye Hai.. Matatizo yoyote yale yanaweza kuondoka kwa mtu kama akitumia maombi ya Delivarance! yaani Kuvunja laana na mikataba. Sitaki kukupotezea Muda ili usiendelee kuumia bali nakupa namba za wachungaji ambao watakusaidia kukufanyia fast track na tatizo lako litaisha, na pia watakufundisha ili tatizo lisirudi tena katika maisha yako na watoto wako hata wajukuu. Namba za Simu:0654308561 na 0752065399 namba yangu ni 0784589610 mimi mwenyewe nilikuwa na matatizo yanayofanana na hayo nilihangaika sana kwenye makanisa ya kilokole lakini sikupata nafuu nilipoenda kwenye kanisa la last glory wakanifundisha namna ya kuomba, kuvunja laana na mafundisho ya neno la Mungu. Sasa na excel yaani napepea tu ndani ya nguvu za Yesu Kristu mwana wa Mungu aliye hai!!! nina shuhuda nyingi sana za kuwaambia wapendwa. Maana chanzo kikuu cha matatizo yetu ni dhambi walizofanya vizazi vyetu vilivyopita, kama mlokole unaweza kuishi maisha ya utakatifu lakini utaona bado matatizo yanakuandama ni kwa asababu ya dhambi zilizofanywa na mababu au wazazi wetu. anya way njoo upate uponyaji kisha ujifunze na wasidie na wengine. Yesu anakupenda sana! chukua hatua mpigie simu mschungaji naye atakusaidia,
  Martha

 7. @ Patrick,

  TANGAZO:

  MIZIMU YOTE KWA MAJINA YAO IMEFUTWA KWA DAMU YA HAKI KWELI NA HUKUMU….

  NA MUNGU AMEKUWEKA MBALI NA AGANO LA KALE… SASA UNAISHI KATIKA AGANO JIPYA KWA UHALISI WAKE….MAAGANO YOTE YA ZAMANI YA MIZIMU IMEHARIBIWA NA BWANA WA MAJESHI…

  NA HAKUNA ADUI YOYOTE ANAYEWEZA KUSIMAMA MBELE YAKO….

  MAANA MUNGU MWENYEWE AMEAPA KATIKA JOSHUA 21:43-45…

  UWE NA AMANI MWANA WA MUNGU KIZAZI CHA NNE CHA TAIFA TEULE LA MUNGU AMBALO LIMETENGWA NA RAMANI ZOTE ZA UHARIBIFU…

  Bezaleli DC.

  Dr.Damian C.Mallya. DDS,MPH

  >________________________________ > From: Strictly Gospel >To: damiancosmas@yahoo.com >Sent: Sunday, 16 June 2013, 15:25 >Subject: [New post] Nina tatizo la mizimu ya uganga!! > > > > WordPress.com >Strictly Gospel posted: ” Nina tatizo la mizimu ya uganga inataka niache kumwimbia Mungu nifanye kazi ya uchawi, inanisumbua naumwa nimekaribia kupooza naomba msaada wa maombi.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s