Wakazi wa Canada mko Tayari?

KAKOBE2

Itakuwa ni siku ya alhamis tarehe 20 mpaka Jumapili ya tarehe 23 June 2013 kuanzia saa moja usiku. Mahali Tennis Canada Stadium, York University, Toronto, Ontario, CANADA. Waimbaji mbali mbali wa kimataifa watakuwepo kama Martha Munizzi, Ron Kenoly, Don Moen, Krystaal, Mali Music na wengine. Usikose kuona shuhuda na matendo makuu ya Mungu. Karibuni

Maelezo zaidi,

Tel: +1-855-7-HEAL-ME (743-2563)
Fax: +1-855-7-HEAL-ME (743-2563)

info@miraclehealingcrusade.org

Advertisements

One thought on “Wakazi wa Canada mko Tayari?

  1. Haleluya!
    “Bwana Yesu ukainuliwe na wengi wakuishie wewe”.

    Tupo pamoja kwa maombi ili Mungu afanikishe kazi za kuwafikia wengine zinazoendelea pote duniani ikiwa ni pamoja na mkutano huu.
    Mungu awabariki team nzima ya FGBF na wahusika wengine wote wanaoratibu kazi hii.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s