Amani ya Nchi ipo mashakani?

pinda

Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda ametoa kauli iliyoleta maswali kwa watanzania aliposema “Sasa kama wewe umekaidi, hutaki unaona kwamba ni imara zaidi, wewe ndiyo jeuri zaidi watakupiga tu, Mimi nasema muwapige tu, kwa sababu hakuna namna nyingine, maana tumechoka”

Aliongea hayo baada ya tukio la kusikitisha la ulipuaji wa mabomu na askari kurusha risasi, Soweto, jijini Arusha. Tukio lililosababisha vifo vya watu akiwemo kiongozi wa chama cha CHADEMA.

Viongozi mbali mbali wa kikristo wametoa tamko kupinga matukio ya namna hii ya unyama yanayoendelea kutokea nchini hasa kwenye mikutano ya kisiasa, Mchungaji wa kanisa la KKKT pia ni Mkuu wa jimbo la Arusha Magharibi, Mch Kisiri aliyehudhuria mazishi ya Judith Moshi “Alisema kwamba Amani na utulivu tulionayo ipo mashakani kutoweka kwa ajili ya viongozi wanaoshindwa kusoma Alama za Nyakati huku wakiendeleza Porojo na Hadithi badala ya kujibu kero za wananchi.na wamekua wakitumia Risasi na mabomu kuwatisha wana nchi

Je Kanisa linachukua hatua gani?

Advertisements

3 thoughts on “Amani ya Nchi ipo mashakani?

  1. muombee mtu binafsi AU kiongozi kwa kumtaja jina, na amani ya moyo wako SI DUNIA HII YESU ALISEMA MYAONAPO MKIMBILIE WOKOVU. dunia haitapata amani mpaka mfalme wa amani ametawala ndani ya Yerusalemu mpya maana Yerusalemu ya kale Ilimkataa Yesu ambaye ni mfalme wa amani. Zaliwa upya upate amani ya moyo wako ndio amani waitafutao waisraeli wa kiroho.

    “WANA AMANI NYINGI WAIPENDAO SHERIA YAKO WALA HAWANA LA KUWAKWAZA” ZABURI 119:165

    KUANGUAKA DUNIA ITAANGUKA TU. DUNIA INGEKUWA NA AMANI KAMA KILA MTU ANGEPATA BADILIKO LA MOYONI.

    “DUNIA KUVUNJIKA, INAVUNJIKA SANA; DUNIA KUTIKISIKA, IMETIKISIKA SAANA. DUNIA INALEWA LEWA KAMA MLEVI, NAYO INAWAYAWAYA KAMA MACHELA; NA MZIGO WA DHAMBI ZAKE UTAILEMEA; NAYO ITAANGUKA, WALA HAITAINIKA TENA” ISAYA 24:19-20

    iSAYA 24:4-5

  2. Sha kusikitisha ni kwamba Chadema wamepigwa bomu na kisha wao ndio wanalaumiwa kuwa ni chanzo. Jamani Mbona nchi yetu inaendeshwa ki-mazingaombwe. Chadema hawawezi kuwaua wafuasi wao. Mimi nimekataa. Mtu mwingine nimemshangaa ni Mtikila na matamshi yake ya rohot mbaya. Tangu sasa sitaheshimu matamshi yake tena. Yesu alisema kama wakristo tunapaswa kutoa hukumu za haki.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s