Reinhard Bonke ndani ya Uwanja wa Taifa leo, Dar es salaam

Habari njema kwa Tanzania, Mkutano mkubwa wa habari njema za Wokovu utafanyika Uwanja wa Taifa, Dar es salaam tarehe 21 hadi 25 Agosti 2013 kuanzia saa 9 hadi 12. Mwinjilisti Reinhard Bonnke na watumishi wenzake watakuhudumia. Omba ulinzi juu ya mkutano huu, usiache kuhudhuria. Mungu akubariki

Advertisements

6 thoughts on “Reinhard Bonke ndani ya Uwanja wa Taifa leo, Dar es salaam

 1. Bwana Yesu Asifiwe, kwa wale tuliombali na Dar es Salaam, tunaomba mtuwekee mafundisho kwenye mtandao kama mtaweza kufanya hivo, Mbarikiwe sana.

 2. Asante…

  Bro Mubelwa…Ubarikiwe
  Habari za huko,Wasalimie Wapendwa Wote.

  *Kusanyiko linafanyika nje ya Uwanja wa Taifa sehemu ya wazi kati ya Salvation Army na U/Taifa…

 3. Cha Mhimu ni “KUKIELEWA” na kukitfakali kwa Makini atakachokifundisha, kuhudhuria na kusikiliza ni sawa, lakini Busara zaidi ni kuelewa na faida zaidi ni kile utachojifunza na kukielewa!

  “Ufahamu ni chembe ya haki!”

 4. Amina sana, si kuhudhuria tu! Watu wa Mungu wito wetu mkuu ni kuwaleta watu kwa Yesu na kuwafanya wanafunzi wake. Kupitia mahali unapoabudu jiunge na wenzako kwenye kamati ya ushauri ili kuwasajili na kuwaleta kanisani na kuwasaidia wakue kiroho sio Bonke akimaliza anarudi kwao na huku kwetu 95% ya waliomkiri Bwana Yesu wanarudi nyuma. Mavuno ni Mengi ishu Watenda kazi. Je unataka kuwa mtendakazi shambani mwa Bwana Yesu??? Karibu mkutanoni
  Download the latest BlackBerry® applications from Zantel on http://www.zantel.com/zantelapps

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s