Kuna tofauti gani?

swali

Kuna tofauti gani kati ya Kuwa Mkristo, shabiki wa Kristo na mfuasi wa Kristo? Na wewe uko kundi gani?

Advertisements

4 thoughts on “Kuna tofauti gani?

 1. Oooh, kumbe ushatoa kaka. Ushamaliza kabisa. Wakati nasoma kwa mara ya kwanza kumbe nimeruka mstari mmoja, so sikuiona hiyo fasili ya kuwa mfuasi wa Kristo. Nafikiri kwa mujibu wa tafsiri hizo, watu wana majibu yao tayari.
  Ubarikiwe sana.

 2. kuwa mkristo ni kukubali kuwa Kristo ni Bwana na Mwokozi hatua ya pili ni kuwa mfuasi wa Kristo maana yake umeamua kuwa chini yake akuongoze mimi niko sehemu hii,. na shabiki wa Kristo ni mtu ambaye anamwamini Yesu ila si mshirika naye na tena anaweza akafanya vitu ving kwa mfano mtu anaweza kuwa shabiki wa timumfulani na mwenyewe kucheza mpira hajui . ndivyo ilivyo walio shabiki wa Kristo ni mtu anasema Kristo lakini hamjui

 3. “Maana za maneno yasomekayo/yakikayo hukaa mdomoni mwa mzungumzaji”-mtaalumu mmoja alisema hayo. Ingekuwa heri muuliza swali, angefafanua kwanza maana ya
  1. Kuwa Mkristo
  2. Shabiki wa Kristo na
  3. Mfuasi wa Kristo.
  Hii ingewapa watu nafasi nzuri zaidi ya kuchangia kama siyo kujibu swali la muulizaji.
  Neema ya Bwana iwafunike

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s