Mtume Dunstan Maboya kufanya Uamsho USA, October 2013

tangazo

Wapendwa katika Kristo Yesu, tunakaribisha wote walio miji jirani kuhudhuria kongamano hili kubwa lenye baraka, Kutakuwa na wahudumu mbali mbali watakaoshiriki na kufundisha kuhusu Ukuu wa Mungu, walete watu wenye mahitaji mbali mbali nao wataenda kuguswa na Nguvu za Mungu. Chakula kitakuwepo,

Watakaosafiri na kutaka Maelekezo jinsi ya kufika tafadhali wasiliana nasi

484-751-7038

Barikiwa.

Advertisements

4 thoughts on “Mtume Dunstan Maboya kufanya Uamsho USA, October 2013

  1. Amen. Mungu awatangulie katika maandalizi ya mkutano huu, nasi wa Kingdom Media tuko pamoja nanyi katika maombi.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s