Kuna Usalama kwa Wakristo?

mashambulizi

Somalia – Al-Shabaab inajulikana kama kundi la wanamgambo wa Kiislamu kupigana kwa ajili ya nafsi ya Somalia. Ni chimbuko la mtandano wa al-Qaeda. Serikali imeshindwa kukabiliana na uharamia wa kundi hili la ugaidi.

Msemaji wa Voice of the Martyrs USA Todd Nettleton. Anasema serikali ya Somalia imejaribu kila hali hivi karibuni kuandaa mkutano wa jumla ya wasomo 160 wa kiislamu, wazee na maimanu kutoka nchi za nje, kujaribu kufanya ufumbuzi wa usalama na utulivu nchini Somalia

Nettleton anasema, “Matokeo ya mwisho wa mkutano huo walitoa Fatwa dhidi ya al -Shabaab , walisema, ‘ Hawafuati uislamu ipasavyo wanavyofanya siyo uislamu haipaswi waungwe mkono”

Hii ni mara ya kwanza viongozi wa dini wamekuja na suluhisho la fatwa dhidi ya kundi lililo na nguvu vijijini.

“sisi ni wasislamu wa kweli na wale si waislamu wa kweli lazima waadhibiwe” ndiyo makubaliano yaliyotajwa na wasomi hao wa kiislamu.

Fatwa mara nyingi zinazohusiana na vitisho vya kuuawa au hukumu.

Somalia ni moja ya nchi inayojulikana duniani kwa kuwatesawakristo, Pamoja na historia ya muda mrefu ya ukandamizaji, Je hii fatwa itawasaidia wakristo kupata unafuu?

Wengi wa Wakristo Somalia wanaabudu kwa siri au makanisa ya nyumbani, al -Shabaab, wameapa kutokomeza Wakristo wote wa Somalia. Idadi ya Mauaji ya Wakristo wanaompa Yesu maisha yao inatisha. Waumini wengi wamekimbia nchi

Wakristo popote tulipo ni jukumu letu kuomba juu ya roho hii inayotaka kumaliza Ukristo, roho ya mpinga Kristo, Unaweza kuomba kwa ajili ya Somalia usisahau Tanzania na Afrika kwa ujumla ambapo lengo kuu ni kuibadili Afrika liwe bara la Kiislamu.

———————————–

Al shabab wamefanya mashambulizi Nairobi, Kenya kwenye Supermarket ya Westgate na kuua jumla ya watu 72  siku ya tarehe 22 September 2013

Wakati huo huo kundi lingine la kigaidi siku ya jumapili tarehe 23 September 2013 Pakistani pametokea mlipuko kanisani na kuuwa jumla ya wakristo 78.

 

Advertisements

6 thoughts on “Kuna Usalama kwa Wakristo?

 1. Wakristo wa kweli tumwombe Mungu kwa nguvu zote,ili atuepushe na kikombe hiki(vitisho vya al shabaab)

 2. prays Lord,
  wakristo changamkeni kwa maombi,maana yale yaliyoandikwa yanatimia,hakuna kushangaa na kupoteza muda,mwana wa adamu yu karibu kuchukua wateule wake,
  amen,stella.

 3. Wanatekeleza Uslamu kwa vitendo….! Tunahitaji kuwahurumia na kuwaombea…..Ona Quuran inavyosema,,,!

  Kill the unbelievers wherever you find them.” Koran 2:191
  “Make war on the infidels living in your neighborhood.” Koran 9:123
  “When opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them.” Koran 9:5
  “Any religion other than Islam is not acceptable.” Koran 3:85
  “The Jews and the Christians are perverts; fight them.”… Koran 9:30
  “Maim and crucify the infidels if they criticize Islam” Koran 5:33
  “Punish the unbelievers with garments of fire, hooked iron rods, boiling water; melt their skin and bellies.” Koran 22:19
  “The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them.” Koran 8:65
  “Muslims must not take the infidels as friends.” Koran 3:28
  “Terrorize and behead those who believe in scriptures other than the Qur’an.” Koran 8:12
  “Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels.” Koran 8:60 …….!

 4. Watu hawa wapo kila mahali kwa majina tofautitofauti. Tz tunao uamsho-kule Zenji!! ama kweli kiama kimefika wapendwa. Tukesheni sana

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s