Baada ya Pennsylvania Askofu Maboya kuelekea Texas na Alabama….

Ilikuwa ni Ibada ya Uamsho na nguvu za Mungu iliyofanyika Norristown, Pennsylvania tarehe 11 – 13 October, 2013. Pamoja na watu kumpa Yesu Maisha yao pia matendo ya miujiza yalidhihirika wazi na watu kupokea baraka zao pale pale. Utukufu ni Kwa Mungu kwa yote yaliyofanyika kwenye mkutano huo, Baada ya kumaliza Pennsylvania sasa Askofu Maboya yuko Texas. Wakazi wa Texas waleteni wagonjwa na wenye kulemewa na mizigo ya dhambi nao watawekwa huru kwa jina la Yesu Kristo. Kwa Mawasiliano zaidi khs Texas wasiliana na Pastor Emmy simu 214-868-5151

Kuhusu Alabama wasiliana na Pastor Yohana Maginga 205-296-7126

Zifuatazo Ni baadhi ya picha za tukio zenye shuhuda ..

bish1

Askofu Maboya akimuombea mama aliyeponywa kansa, na aliyemshika nyuma aliponywa sikio lake pale pale

bish2

Mzee aliyekuwa akisumbuliwa na figo hakuweza kutembea vema kabla lkn aliombewa na kuruka kwa furaha

bish3

Mama pichani akifanyiwa operation ya titi lililokua likimsumbua kwa muda mrefu na kusema hasikii maumivu tena

mamamwesy

Mama aliombewa na kupona pale pale tatizo la mngongo lililomtesa zaidi ya miaka 35

kristabella

Dada Akitolewa unabii juu ya maisha yake

bishopdm

Mtumishi wa Mungu Clement Mboya akitafsiri kingereza kwa wageni

waimbaji

Praise and Worship Team

sifa

Baada ya Matendo Makuu ya Mungu na shuhuda watu wakimsifu Mungu

janeth

Dada Janeth Mganyizi akimshukuru Mungu

pstmelczedeck

Pastor Melchzedek Matulu naye alikuwepo

igogo

Pastor Igogo na Ency Mwalukasa pia walihudumu

psteric

Pastor Eric na Sharon

maria

Vaileth, Moulin na Mary

 

Tunamshukuru Mungu Strictly Gospel kuweza kuandaa Mkutano huu, tunatarajia makubwa zaidi kwa Utukufu wa Mungu. Kuhudhuria maombi yetu Na Neno la Maarifa kila Ijumaa  9E/8C pm Piga 626-677-3000 na Access code 8740052

Au kwa maelekezo Piga simu 484-751-7038

Advertisements

11 thoughts on “Baada ya Pennsylvania Askofu Maboya kuelekea Texas na Alabama….

 1. Habari kutoka Alabama ni kwamba ulikuwa ni mkutano wa Baraka…..na wengi wameomba kwamba tunamuhitaji kila mwaka mtumishi huyu kwa sababu nyingi…..Kwanza kupata ujumbe ulio hai na unaotoka ndani ya misingi ya Biblia, sio uliojengwa kwenye mafunuo tu ya kibinadamu, na pia tunahitaji changamoto ambayo inatutaka tusonge mbele katika kumjua Mungu…..going deeper into mystery of God….kujua nguvu zake na uwezo wake kwetu sisi tunaoamini, na kwa wale ambao tuko Marekani…tunataka kuisikia Injili yenye flavor ya nyumbani……! Hata Daudi alipokuwa mbali na Yerusalem alitamani maji yenye harufu ya Yerusalem….kwani mengine licha kwamba ni maji yenye uhai lakini hayana flavor ya nyumbani………..Asante mno dada Mary kwa kufanikisha ziara ya Mtumishi huyu……..! Mungu akutie nguvu kwa kufanya ziara za mtumishi huyu ziwe za kudumu USA Peleke salamu zetu toka Dallas……UBARIKIWE….!

 2. Wapendwa….

  Ilikuwa ni Baraka Dallas……..! Huu ni mwanzo tu wa Kubarikiwa na Mtumishu huyu kwa sisi tulioko upande huu wa dunia……! Mtu,mishi atakuwa Safarini kulekea ALABAMA………! Tegemeeni Makubwa toka Kwa Bwana……

 3. Utukufu ni kwa Mungu wapendwa wangu.

  AMEN Pastor Kaleb, so happy to hear from you.

  Mungu awabariki nyote.

 4. WOW ! CONGRATS FOR SUCH A GREAT EVENT. MAY GOD ALMIGHT BLESS YOU AND KEEP YOU FOR MORE GREATER CONFERENCES. PHILIPIANS 3:12-14

 5. Dada Mary….na timu yako….Mungu awabariki….Mtumishi yuko Dallas………! Mungu na Awabariki…

 6. Sifa zake zidumu daima,nimefurahi kazi mliyofanya tunasubiri Tanzania. Ubarikiwe dada Mary

 7. Such visionary Team! Great job, glory to God. U challenge my life Kiutumishi na Kiuhuduma ili nichochee zaidi, SAFI SANAAAAAAA!

  Be blessed by this spiritual blue-band and bread ……Daniel 11:32 (NIV) ~ ‘’But the people that do know their God shall be strong, and do exploits.

  Press on and on and on and on until Master comes back, Amen

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s