Mchungaji Auawa nchini Kenya

kenyan

MOMBASA KENYA:  Mchungaji Charles Mathole Auawa kwa kupigwa Risasi na watu wasiojulikana Kanisani Redeemed Church lililoko Mtopanga Mombasa majuma mawili baada ya Shekhe wa dini ya Kiislamu kwa jina la Rogo kuuawa katika mazingara ya kutatanisha ikapelekea maandamano ya Waislamu Mombasa na Kanisa likateketezwa moto.

Pastor Charles Mathole wa Redeemed Gospel Church Mtopanga Mombasa alipigwa risasi ya kichwa Ndani ya Kanisa USIKU wa kuamkia Leo Jumapili.

Polisi wameanza Uchunguzi na japo waumini waliokuja kuabudu waligeuka Waombolezaji lakini hawakufanya maandamano yeyote wala hakuna msikiti ulioteketezwa kwa moto na wakristo wenye hasira.

–Faustin Munishi Daily News

Advertisements

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s