Mwili wa Mac Elvis Kuagwa Leo, Sinza Dar es salaam

Mwimbaji Mark Elvis Mutalya au Mac Elvis Mutalya (26) maarufu kama church boy aliyefariki jijini Dar es salaam kwa kuzama kwenye bwawa la kuogelea (swiming pool) Maeneo ya mbezi ataagwa leo na kanisa la The Upper Room Ministry Tanzania http://goo.gl/maps/oKjJU, Sinza, Dar es salaam saa sita mchana.

Marehemu alikuwa ni mmoja wa watoto yatima waliolelewa na kanisa maarufu la Watoto nchini Uganda baada ya wazazi wake kufariki akiwa na miaka sita ndipo alipochukuliwa na kanisa hilo mpaka kuhitimu elimu ya sekondari na kuingia kwenye muziki kisha kufanikiwa kuimba nyimbo zilizosikika kwenye radio mbali mbali nchini Uganda.

Moja ya wimbo mpya unaosikika sana

Kwa maelekezo zaidi jinsi ya kufika kanisani wasiliana na

Tumaini +255656718941

Alexander  +255782866884 / +255757866884.

Nsia +255783454463.

Bwana na awafariji wote kwa msiba huu.

Advertisements

3 thoughts on “Mwili wa Mac Elvis Kuagwa Leo, Sinza Dar es salaam

  1. Mpendwa naomba utujulishe ilikuwaje mpaka akazama swiming pool akanywa maji hadi akafa? Yaani hakukuwa na watu karibu wa kumwokoa? Please

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s