SG inashukuru kwa ushirikiano wako!!

1st runner

Mungu awabariki wote mnaoendelea kubarikiwa na blog hii, tunatambua uwepo wa kila mmoja, wanaotembelea, wanaoacha maoni, wanaotuma ujumbe mbali mbali kwa email na kupiga simu. Hii inatupa nguvu ya kuendelea mbele katika kuujenga mwili wa Kristo.

Ikiwa ni mara yako ya kwanza au mara nyingi unatembelea hapa lakini hujampa Yesu Kristo maisha yako, au unahitaji ushauri au maombezi, karibu sana, wasiliana nasi tukupatie mwongozo.

Mawasiliano yetu East Africa +255 714 915 424

Kwa wale wa USA na Canada piga 484-751-7038

Email: strictlygospel@yahoo.co.uk

Endelea kutuombea na endelea kujaza form ikikupendeza kushirikiana nasi https://strictlygospel.wordpress.com/shirikiana-na-strictly-gospel/

Tarajia makubwa zaidi kutoka Strictly Gospel.

Mungu akubariki sana,

Mary Damian

Advertisements

6 thoughts on “SG inashukuru kwa ushirikiano wako!!

 1. Ninaipenda SG imekua baraka kwangu kwa ujumla. Mungu ambariki founder, kundi zima na wasomaji wote. Tuendelee kuchangia mada mbalimbali ili kujengana.

 2. Nabarikiwa sana na blog hii.Kupitia blog hii nimejifunza mambo mengi na naendelea kujifunza zaidi!Mungu aendelee kukutia nguvu dada Mery Damian.

 3. Mary Damian/SG

  Lovely indeed, hiyo picha-post, wow! inahamasisha kuendelea kuja hapa kwa upako na raha zote, ooh Yes, we will continue to pray for you all as you do for us all participants. Great job once again kwako kama vision Founder na team- Wabeba Maono.

  I like your hard working for Jesus, blessings.

  Press on

 4. MD&SG……………………

  Maana ni shukrani gani tuwezayo (niwezayo)kumlipa Mungu kwa ajili yenu, kwa furaha ile yote tunayoifurahia(ninayofurahia), kwa sababu yenu mbele za Mungu wetu;1Thes3:9(msisitizo ni wangu)

  Barikiwa

  Mjoli Haule

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s