Utabiri wa TB Joshua kutimia tena?

prophet-tb-joshua

Mtume maarufu barani Afrika T.B Joshua alitoa tahadhari Jumapili iliyopita kutoka kanisani kwake Scoan Nigeria alitangaza kuna moja ya nchi Afrika mashariki  karibu na kenya lakini sio Kenya, itashambuliwa  kwa masuala ya  ugaidi

Alipozungumza kwenye Ibada hiyo alisema nchi ambayo iko hatarini kukutwa na tukio hilo ambalo iliwahi kupatwa na matatizo hayo kwamba tukio hilo linatokea tena.

T.B Joshua hakutaka kutaja jina la kiongozi huyo wala nchi anayotokea ingawa ameshajulishwa na Mungu na kusema kwamba endapo Mungu atamtaka kutaja jina la kiongozi na nchi atokayo atafanya hivyo. Ila kwasasa amewataka wana Afrika mashariki kumuomba sana Mungu ili jambo hilo lisitokee. Unaweza kuitazama video ya maelezo hapo chini.

–Magazetini

Advertisements

6 thoughts on “Utabiri wa TB Joshua kutimia tena?

  1. Du wapendwa tumwombe Mungu mtumishi karudia leo (10.11.2013) kuwa sasa jambo ile limekaribia na amesema anaandika barua kwenda ubalozi wa nchi husika ili wachukua hatua. Kwa kweli hatujui ni wapi ila Mungu anaweza kutuokoa na hili. Nimesikia mwenyewe kwa masikia yangu live leo!!! so wapendwa tunakazi etii!!!

  2. JUST WAIT AND SEE WHAT WE NEED TO DO IS TO PRAY AND FAST AS MAN OF GOD SAID APART FROM THAT ITS SUFFERING LETS COME TOGETHER AND PRAY SO THAT GOD WII SUBDUE THIS ATTACK

  3. Asante Leons kwa ufafanuzi,
    Maana hii habari imeshachakachuliwa mpaka basi. Na watu mtaani wanajua atakayetekwa ni rais wa nchi mojawapo Afrika mashariki. Kumbe wala si hivyo.
    Lingekuja kutokea tofauti na tulivyodhani, watu wangeanza kusema ulikuwa unabii wa uongo, kumbe tulivyoambiwa ndo haikuwa sahihi!

  4. Hakusema kiongozi afrika mashariki atatekwa bali alisema kwa afrika mashariki anaona mashambulizi yaani attacks na nchi hiyo iko afrika mashariki karibu na kenya lakini sio kenya ila ni nchi ambayo tukio kama hilo lilishawahi tokea huko nyuma na hao magaidi walikuwa wa shambulie nchi moja wapo west afrika lakini ameona tukio limehamishiwa east afrika, kuhusu kiongozi kutekwa kasema nchi moja wapo afrika lakini sio afrika mashariki

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s